Hapo sasa!Taarifa ya kugomea mechi iko wap kwenye uzi wako?
Ungesema hivo sasa kwenye uzi wakoIpo mwananchi online, Manara kasema wanagoma
Kama kawaida yenu wazee wa kukanushaTaarifa ya kugomea mechi iko wap kwenye uzi wako?
Wewe acha kubisha kasema kabisa kwamba hawatocheza ngoja niiweke clips,,, ila nafikiri anafanya vile wagome ili aangalie simba dayTaarifa ya kugomea mechi iko wap kwenye uzi wako?
Tulia weweIpo mwananchi online, Manara kasema wanagoma
Hahahaa weekaWewe acha kubisha kasema kabisa kwamba hawatocheza ngoja niiweke clips,,, ila nafikiri anafanya vile wagome ili aangalie simba day
Na msukulee wauachee uko kama walivobak na wenzaoUto wanavuna walochopanda
Wangekuwa wema nyumbani haya yote yasingewakuta