Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,195 Reaction score 4,540 Aug 7, 2022 #21 IQ kubwa!? Kundi la wajinga wanamuona mjinga mmoja ana IQ kubwa kuzidi wao[emoji23][emoji28]
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,193 Reaction score 9,894 Aug 7, 2022 #22 Mimi nilishamtunuku, uwa namwita Dr. Haji Manara.
benja JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 331 Reaction score 230 Aug 7, 2022 #23 Juma1967 said: Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima Click to expand... Unafananisha IQ na upumbavu kama Manara????? Si bora ungelinganisha IQ kubwa na vitu vya maana kama bia, k-vant, konyangi au bongo don
Juma1967 said: Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima Click to expand... Unafananisha IQ na upumbavu kama Manara????? Si bora ungelinganisha IQ kubwa na vitu vya maana kama bia, k-vant, konyangi au bongo don
Lucky93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 817 Reaction score 1,674 Aug 8, 2022 #24 Watu wameweka hela ndio mpira umekua leo mpuuzi mmoja mropokaji eti apewe PhD amekuza mpira
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,947 Reaction score 2,164 Aug 8, 2022 #25 Juma1967 said: Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima Click to expand... Unajua unathibitisha kuwa karia alikuwa sahihi kuwa mashabiki wa Yanga mna kinyesi?
Juma1967 said: Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima Click to expand... Unajua unathibitisha kuwa karia alikuwa sahihi kuwa mashabiki wa Yanga mna kinyesi?
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,557 Dec 10, 2022 #26 Dr Manara
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,557 Reaction score 2,336 Dec 10, 2022 #27 Alishasema yanga wote madishi yameyumba
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,915 Dec 10, 2022 #28 Safari hii mtawapa hata maiti udoktari.
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,011 Reaction score 28,368 Dec 11, 2022 #29 Theb said: Umekaa ki udaku mkuu Click to expand... Bado nmekaa kiudaku au ki IQ IQ,🚶
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,816 Reaction score 40,422 Dec 11, 2022 #30 Juma1967 said: Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima Click to expand... Mpeni tu maana Honoraria za kiafrika hata mwizi wa simu anaweza kupewa bila shida.
Juma1967 said: Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima Click to expand... Mpeni tu maana Honoraria za kiafrika hata mwizi wa simu anaweza kupewa bila shida.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,967 Reaction score 194,047 Dec 11, 2022 #31 Ahsante kwa taarifa...