Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Kizibao

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Posts
1,308
Reaction score
755
From Halis Max Facebook Page.

Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa ✍️

Watu wa football mpo wapi? Wanahabari na Majukwaa yetu mmelala? Wasanii mnaogopa kutukanwa mitandaoni?

Football ipo kabla ya Uhuru wa Nchi hii,Yanga na Simba zimeanza kabla ya TANU na ASP vyama vilivyogomboa Taifa hili la Tanzania. Na zenyewe zilishiriki kikamilifu harakati bora zaidi kuwahi kutokea za kumng’oa Mkoloni!!

Soka imeajiri Watu wengi kuliko vyama vyenu vya siasa na mchezo huu unapendwa kuliko hivyo vyama vyenu na ndio maana vina ufuasi mkubwa kuwazidi. Watu elfu sitini wanalipa viingilio vyao kutazama ndiki lakini mikutano yenu hata watu elfu kuwapata shughuli tena bure!! Wafuasi wa Soka najua mnaogopa kukemea hili kisa matusi ya mitandaoni. Tunakubali vipi kila siku Wanasiasa wauvae mchezo wetu kwa maslahi yao?

Wasanii na nyie mnadharauliwa mnashindwa kupaza sauti kisa mnaogopa kejeli na matusi yao.
Miaka 30 ya Bongo flavor inatumika kisaisa na haifai ila kwenye matamasha mengine wapo siti za mbele !!
Mmekuwa wanyonge ila kazi kupigana vijembe tu wenyew kwa wenyew,, Mtu ananijisi kazi yenu mnaacha hata kumjibu kisa kiongozi wa kisiasa? Na nyie Media ya Tanzania imetukanwa sioni kauli zozote za Majukwaa ya Wahariri wala ya Wanahabari, kesho mtapata wapi legitimacy ya kuwakemea wengine wakiwadhihaki?
LKisa ni kuogopa kebehi zao!!

Acha niongee kwa niaba ya Soka. Mambo yenu na magomvi yenu ya siasa msituletee huku.
Simbaa na Yanga Ndio furaha yetu no matter wat!! Viongozi wa hivi vilabu,TFF,Wachambuzi na Wadau ukimya wenu na uoga wenu umenishangaza sana leo. Soka inakejeliwa wakati imetoa fursa kubwa kwa walio wengi?
Nyie vp bhana!!

Nb:Tukiwachekea hawa kuna siku watasema watu wasiende miskitini na makanisani kisa kuunga mkono matakwa yao!! Nb2: Aziiz funguo tayari huko🤪

Nguvu ya Mpira duniani na Tanzania ni kubwa mno na inapaswa iheshimiwe na ilindwe kwa wivu na gharama kubwa. Hakipo Chama chochote kiwe cha siasa au upatu chenye uwezo wa kubeba hadhira kama hizi,,kukusanya Watu zaidi ya elfu sitini tena wakiwa wamelipa pesa zao!!
HAKIPO !! Ni vile tu kina Ngunguz na kina Hersi hawajajua wanaongoza Taasisi zenye ukubwa gani !!

Halaf anatokea Mtu anaponda na kudai football inatumika kisiasa na Watawala. Hao wamelipa viingilio vyao na wamelipa nauli kuja kushangilia team zao na kuenjoy Soka!! Hapo kuna Siasa? Hao wote wanatumika na Watawala? Wanapagawishwa na football kutokana na ‘mahaba yao' Au hapo wameletwa ili wapumbazwe?

Kipo wapi Chama chenye nguvu hiyo Tanzania hii kukusanya Umma kama huo? Yupo wapi Mtu anaebeza Vibe kama hili ?na hawa wote sio kama hawana Changamoto za maisha yao, lakini nguvu ya football inawakusanya hapo bila kujali tofauti zao za kipato,kikabila,kidini au eneo watokalo!!

Mwanasiasa hodari na makini ni yule anaepaswa awaheshmu na kuwapeti Washabiki hawa wa Ndiki na sio kuwabeza au kuuponda mchezo wao pendwa!! Hawa ni wapiga kura wakitanzania na hapo sijawajumuisha Mamilioni waliopo majumbani wakifurahia burudani toka sebuleni kwao!!


Pls DON'T TOUCH OUR FOOTBALL
 
Manara Mpumbavu yule anaweza kumjibu nini Heche?

Mimi sipo tayari kuona ukatili na mauaji haya ya kinyama kwenye nchi Yangu
Wajaji kama haitoshi wameamja kutubambia kesi za ugaidi.
(UONGO TU)

Tanzania sio sehemu salama ya kupokea wageni AFCON kuna wimbi la Magaidi la kutisha mno.
 
Hawa CHADEMA ni chuki tu ,kila mtu wanataka awakubali ,yaani ilitakiwa wapigwe marufuku nashangaa watu wanwaangalia tu ... CHADEMA haijaleta manufaa yoyote wala hailipi kodi ,badala yake inachangisha pesa kutoka kwa watu maskini kabisa ili kwenda kuzunguka na magari pamoja na kulipana posho.

Hawa jamaa lazima wajue manufaaa ya chuki ,ipo siku watajuta..CCM endelea kuwanyoosha hawa wala ugoro .
 
Hawa CHADEMA ni chuki tu ,kila mtu wanataka awakubali ,yaani ilitakiwa wapigwe marufuku nashangaa watu wanwaangalia tu ... CHADEMA haijaleta manufaa yoyote wala hailipi kodi ,badala yake inachangisha pesa kutoka kwa watu maskini kabisa ili kwenda kuzunguka na magari pamoja na kulipana posho.

Hawa jamaa lazima wajue manufaaa ya chuki ,ipo siku watajuta..CCM endelea kuwanyoosha hawa wala ugoro .

Chauma nae anachangisha watu maskini, hapa Tanzania anaechangisha matajiri ni ccm tu
 
From Halis Max Facebook Page.

Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa ✍️

Watu wa football mpo wapi?
Wanahabari na Majukwaa yetu mmelala?
Wasanii mnaogopa kutukanwa mitandaoni?

Football ipo kabla ya Uhuru wa Nchi hii,Yanga na Simba zimeanza kabla ya TANU na ASP vyama vilivyogomboa Taifa hili la Tanzania.
Na zenyewe zilishiriki kikamilifu harakati bora zaidi kuwahi kutokea za kumng’oa Mkoloni!!

Soka imeajiri Watu wengi kuliko vyama vyenu vya siasa na mchezo huu unapendwa kuliko hivyo vyama vyenu na ndio maana vina ufuasi mkubwa kuwazidi.
Watu elfu sitini wanalipa viingilio vyao kutazama ndiki lakini mikutano yenu hata watu elfu kuwapata shughuli tena bure!!

Wafuasi wa Soka najua mnaogopa kukemea hili kisa matusi ya mitandaoni.
Tunakubali vipi kila siku Wanasiasa wauvae mchezo wetu kwa maslahi yao?

Wasanii na nyie mnadharauliwa mnashindwa kupaza sauti kisa mnaogopa kejeli na matusi yao.
Miaka 30 ya Bongo flavor inatumika kisaisa na haifai ila kwenye matamasha mengine wapo siti za mbele !!
Mmekuwa wanyonge ila kazi kupigana vijembe tu wenyew kwa wenyew,,
Mtu ananijisi kazi yenu mnaacha hata kumjibu kisa kiongozi wa kisiasa?
Na nyie Media ya Tanzania imetukanwa sioni kauli zozote za Majukwaa ya Wahariri wala ya Wanahabari, kesho mtapata wapi legitimacy ya kuwakemea wengine wakiwadhihaki?
LKisa ni kuogopa kebehi zao!!

Acha niongee kwa niaba ya Soka.
Mambo yenu na magomvi yenu ya siasa msituletee huku.
Simbaa na Yanga Ndio furaha yetu no matter wat!!
Viongozi wa hivi vilabu,TFF,Wachambuzi na Wadau ukimya wenu na uoga wenu umenishangaza sana leo.
Soka inakejeliwa wakati imetoa fursa kubwa kwa walio wengi?
Nyie vp bhana!!

Nb:Tukiwachekea hawa kuna siku watasema watu wasiende miskitini na makanisani kisa kuunga mkono matakwa yao!!
Nb2: Aziiz funguo tayari huko🤪

Nguvu ya Mpira duniani na Tanzania ni kubwa mno na inapaswa iheshimiwe na ilindwe kwa wivu na gharama kubwa.
Hakipo Chama chochote kiwe cha siasa au upatu chenye uwezo wa kubeba hadhira kama hizi ,,kukusanya Watu zaidi ya elfu sitini tena wakiwa wamelipa pesa zao!!
HAKIPO !!
Ni vile tu kina Ngunguz na kina Hersi hawajajua wanaongoza Taasisi zenye ukubwa gani !!

Halaf anatokea Mtu anaponda na kudai football inatumika kisiasa na Watawala.
Hao wamelipa viingilio vyao na wamelipa nauli kuja kushangilia team zao na kuenjoy Soka!!
Hapo kuna Siasa?
Hao wote wanatumika na Watawala?
Wanapagawishwa na football kutokana na ‘mahaba yao'
Au hapo wameletwa ili wapumbazwe?

Kipo wapi Chama chenye nguvu hiyo Tanzania hii kukusanya Umma kama huo?
Yupo wapi Mtu anaebeza Vibe kama hili ?na hawa wote sio kama hawana Changamoto za maisha yao, lakini nguvu ya football inawakusanya hapo bila kujali tofauti zao za kipato,kikabila,kidini au eneo watokalo!!

Mwanasiasa hodari na makini ni yule anaepaswa awaheshmu na kuwapeti Washabiki hawa wa Ndiki na sio kuwabeza au kuuponda mchezo wao pendwa!!
Hawa ni wapiga kura wakitanzania na hapo sijawajumuisha Mamilioni waliopo majumbani wakifurahia burudani toka sebuleni kwao!!


Pls DON'T TOUCH OUR FOOTBALL

#Halisimax #Tanzania
Manara hajijui kuwa yeye ni mlemavu.
Aachane na siasa.
 
Hawa CHADEMA ni chuki tu ,kila mtu wanataka awakubali ,yaani ilitakiwa wapigwe marufuku nashangaa watu wanwaangalia tu ... CHADEMA haijaleta manufaa yoyote wala hailipi kodi ,badala yake inachangisha pesa kutoka kwa watu maskini kabisa ili kwenda kuzunguka na magari pamoja na kulipana posho.

Hawa jamaa lazima wajue manufaaa ya chuki ,ipo siku watajuta..CCM endelea kuwanyoosha hawa wala ugoro .
Heri wala ugoro kuliko wezi,watekaji na wauwaji.
 
Heche ameongea ukweli! Yeye Manara na CHAWA wenzake ndiyo wapuuzi.

Mimi ni shabiki wa Yanga, na ninatambua fika ccm imejipenyeza kwenye kila uongozi unaopita wa timu. Ukienda simba nako mambo ni yale yale.
Hovyo kabisa. Kwahiyo, Chadema ikiingia madarakani Simba na Yanga zitapigwa marufuku? Halafu mnadai Chadema inapendwa nchi hii? Labda na vichaa maana hata Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ni vichaa!
 
Back
Top Bottom