Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho.
Sijawahi kuona huo utaratibu hata kwenye Ndondo Cup,amewatia wachezaji hamasa kubwa, kuna wadau wameanza kusema Manara apewe mikoba ya Nabi.
Mi naona anafaa nye mna maoni gani.
NB: Tunashukuru kwa ushiriki wa kimataifa ila mtuambie mmeongeza points ngapi CAF ili Tanzania tujiwekee nafasi nzuri zaidi kupeleka timu 4 tena mwakani?