Manara apewe ukocha Yanga

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho.

Sijawahi kuona huo utaratibu hata kwenye Ndondo Cup,amewatia wachezaji hamasa kubwa, kuna wadau wameanza kusema Manara apewe mikoba ya Nabi.

Mi naona anafaa nye mna maoni gani.

NB: Tunashukuru kwa ushiriki wa kimataifa ila mtuambie mmeongeza points ngapi CAF ili Tanzania tujiwekee nafasi nzuri zaidi kupeleka timu 4 tena mwakani?
 
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho...
Timu haikupewa chumba cha kubadilishia nguo, hivyo ile sehemu ya uwanja ya kamati ya ufundi ndio ilitumika kama chumba cha kubadilishia nguo.

Haji alikuwa ananalamika kuhusu kitendo cha utovu wa nidhamu kilichofanywa na timu pinzani. Wakati haya yakitokea Nigeria, nyumbani huku Mpoki alisema Simba kwa sasa ina waganga walioiva haswa katika bench la ufundi.
 
Timu haikupewa chumba cha kubadilishia nguo, hivyo ile sehemu ya uwanja ya kamati ya ufundi ndio ilitumika kama chumba cha kubadilishia nguo. Haji alikuwa ananalamika kuhusu kitendo cha utovu wa nidhamu kilichofanywa na timu pinzani. Wakati haya yakitokea Nigeria, nyumbani huku Mpoki alisema Simba kwa sasa ina waganga walioiva haswa katika bench la ufundi.
Mechi ya Simba ilipokuwa inaendelea hao waganga walikaa benchi ipi maana sikuwaona
 
Sasa utawafanya watu waogope kuchangia maoni yao kwa wasiwasi wa mapovu ya uto

Hii Misimba ikoje bila kuitaja Yanga hawana raha Manara ameondoka simba lakini bado Mbumbumbu/Mikia/Bodaboda wanamfuatilia tu hivi Yanga wanamfuafuata Nogaz hivi mtapata akili ya utambuzi lini?
 
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho...
Tunakoelekea sasa hata Sisi tunaopoteza muda Wetu adhimu Kumjadili Mwendawazimu huyu wa Yanga SC tutaonekana ni Wendawazimu kama Yeye.
 
.
FB_IMG_1631703587751.jpg
 
Nilichogundua ni kwamba Haji amehusika kwenye kupandikiza Jazba na kuwafanya Wachezaji wa Yanga wacheze wakiwa wameshatoka mchezoni.

Alipokuwa Simba sijawahi kumuona akiwa hivi. Namshauri hata kwenye Mechi ya Ngao ya Jamii Aendelee kufanya hivi ili Simba ije ipate ushindi kirahisi.
 
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho.

Sijawahi kuona huo utaratibu hata kwenye Ndondo Cup,amewatia wachezaji hamasa kubwa ,Kuna wadau wameanza kusema Manara apewe mikoba ya Nabi.

Mi naona anafaa nye mna maoni gani .

NB:Tunashukuru kwa ushiriki wa kimataifa ila mtuambie mmeongeza points ngapi CAF ili Tanzania tujiwekee nafasi nzuri zaidi kupeleka timu 4 tena mwakani?

Manara anawahujumu utopolo
 
Back
Top Bottom