makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,444
Nashkuru mkuu..Toka jf nenda kwa wale wanauza mananasi mf.stend n.k wananunua mananasi mengi kwa bei ya jumla
Sawa mkuuMkuu mananasi yaoze na Skuku izi ni dhambi isiyo sameheka uza nenda sokoni Tafuta wanauza jumla me kuna kipindi nlilima kabichi wakawawananipa bei za hasara nikavuna nikaingia sokoni mwenyewe rejareja na jumla jioni mzigo umebaki kidogo mno nikapatia madalali Kesho yake nikapokea changu nikawapa chao Haya maisha kuna muda lazima ujitoe ufahamu kama unapenda hela na upendi hasara
Sawa chief.Watu wanauzia mpka kwenye but za magar yao ,, tafuta eneo mwaga nanasi vunja bei utaona utakavyouza
Unauza sh ngapi kwa moja mkuuWakuu, nina mananasi yangu shambani yamekwiva, yataniozea. yapo lubambawe, mkuranga. Heka 2
0659445718
0783289273
Pm pia iko wazi
Mkuu siuzi kwa moja moja, ni jumla kiongozi.Unauza sh ngapi kwa moja mkuu
Jumla unauzajeMkuu siuzi kwa moja moja, ni jumla kiongozi.
Kwa jumla mkuu, fika uone mzigo tupatane hapo hapo kiongozi.Jumla unauzaje
Ni pm namba yako mkuuKwa jumla mkuu, fika uone mzigo tupatane hapo hapo kiongozi.
Namba zangu nimeweka hapo katika hii post mkuuNi pm namba yako mkuu