Managed Digital Ventures

Managed Digital Ventures

tovuti website

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
433
Reaction score
546
Habari;

  • Je wewe unapenda kuwa muwekezaji katika startups?
  • Je una uwezo wa kuwekeza kati ya TZS 25000 kwa mwezi hadi TZS 150,000 kwa mwezi?
  • Je unaweza kuwekeza kiwango hicho cha Pesa kwa kipindi cha miezi 12?
  • Je unapenda kuwekeza katika innovative Digital Ventures-Digital Business?
Kama Jibu ni ndiyo Basi Fursa ni yako na unaweza kupata return ROI ya kati ya 2% had 30% per year paid quarterly.
Uwekezaji huu sio wa hisa ila kutakuwa na makubaliano maalum.

Maelezo zaidi Karibu PM.or Email:blog4moneytz@gmail.com
 
Hebu fafanua vizuri huo uwekezaji sisi tusio great thinkers tuelewe kwa kina...
 
Hebu fafanua vizuri huo uwekezaji sisi tusio great thinkers tuelewe kwa kina...
Ni kama unapofanya biashara ya UBIA ila sasa kunakuwa na mtu kati kwa ajili ya kusimamia uwekezaji wako na kukushauri
 
Back
Top Bottom