Huyu baba Ana administration skills ambazo Mimi ni wewe hatuoni ndani.
Mke mmoja tu lakini kutwa nzima kulalama JF.
Jamaa Ana hao wote lakini kilio chake anasema ' I am blessed' dah!
Makampuni ya kimataifa mchukueni huyu jamaa kumanage staff wenu. It's extra ordinary.