charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Kikubwa ambacho MAN utd wanacho ni BIG MANAGER. Timu kama Chelsea ina wachezaji wakubwa lakini imekosa manager. That is the difference.
Kaka wachezaji ni wazee. Angalia MANutd vijana kama fabio, raphael, nani, anderson, park, chicharito. Halafu siku babu akimpanga gary nevel utaona tunavyoelemewa. Soka la sasa lina limitations ya umri.