AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 954
Baada ya vilaza wa Arsenal na makuli wa Man City kutolewa kwenye UEFA champions league,wakombozi pekee waliobakia ni Manchester United ambao ndio wataingia hatua ya robo fainali kuwakilisha Uingereza.
Chelsea nawapa 50-50 ila moyo wote kwa mashetani wekundu,deficit ya magoli mawili itakuwa ndio chachu ya kuwapiga goli 4 kwa moja pale OT na kuwasukumiza nje ya mashindano mabaharia wa ugiriki Olympiacos.
Anayebisha na ajitokeze hadharani
Nabisha kwani timu tepetepe kama man u haiwez wika mbele ya majogoo olimpiacos,lazima waolewe! English teams zote out[/QUNUOTE]
Old Toilet (OT) kunanuka sana siku hizi!
Labda mkitaka kushinda idadi hiyo ya magoli muombe mtumie viwanja vingine nje ya OT,
Mkikaidi mkacheza hapo OT matokeo yatakuwa hivi,
Manyau Utd 2 vs 1 Olympiacos!
Then jibu unalo ww mwenyewe!
nia tunayo,uwezo tunao na sababu pia tunayo...nasema Wapigwe Bavarians.....wapigwe Bavarians.....wote tuseme na apigweeeeeeee....
Nabisha kwani timu tepetepe kama man u haiwez wika mbele ya majogoo olimpiacos,lazima waolewe! English teams zote out
Nasubiri hiyo siku.
Nabisha kwani timu tepetepe kama man u haiwez wika mbele ya majogoo olimpiacos,lazima waolewe! English teams zote out
Baada ya vilaza wa Arsenal na makuli wa Man City kutolewa kwenye UEFA champions league,wakombozi pekee waliobakia ni Manchester United ambao ndio wataingia hatua ya robo fainali kuwakilisha Uingereza.
Chelsea nawapa 50-50 ila moyo wote kwa mashetani wekundu,deficit ya magoli mawili itakuwa ndio chachu ya kuwapiga goli 4 kwa moja pale OT na kuwasukumiza nje ya mashindano mabaharia wa ugiriki Olympiacos.
Anayebisha na ajitokeze hadharani
:A S 465:
Kwakuwa historia inasema kombe hili huwa bigwa hajawahi kulitetea hata mara moja,ndiyo kusema Man U njia nyeupe kumtoa Bavarians nadhani ni suala la muda tu tutaona ikiwa bigwa mtetezi atatolewa na Man U.
Hata chelsea tuliwadharau hivihivi kama mnavyotudharau leo. GGM
Siku gani?
Hiyo ambayo man u watainua ndoo ya UCL.
Darajani wameshanyweshwa mvua 3