Man United Overpaid; Di Maria Deal

Man United Overpaid; Di Maria Deal

Ukisoma hio article jamaa amesema Euros na aliandika before United deal haijakamilika ila hata ukibadilisha into pounds ambazo ndio hizo 59 bado wame-overpay asking price ambayo PSG waliikataa

PSG walishaviolate FFP policy tangu last season na msimu huu walishajichanganya kumnunua David Luiz kwa £ mil 50,walikuwa na option ya kumchukua kwa loan then next msimu ndio wamsajili Perez akakataa.Issue hapa ni why United wamespend hiyo hela kwa DiMaria while matatizo yao yapo kwenye Defensive Midfield na Centre Back

Then ni ngumu kusema wameoverpay wakati mchezaji hata uwanjani hajaingia even Bale watu walisema Pérez katoa hela nyingi but baada ya kuchukua La Decima hakuna anayesema wameoverpay
 
PSG walishaviolate FFP policy tangu last season na msimu huu walishajichanganya kumnunua David Luiz kwa £ mil 50,walikuwa na option ya kumchukua kwa loan then next msimu ndio wamsajili Perez akakataa.Issue hapa ni why United wamespend hiyo hela kwa DiMaria while matatizo yao yapo kwenye Defensive Midfield na Centre Back

Hapana Mkuu hapa issue ni kwamba Di Maria alikuwa anataka kuondoka na hili lilishajulikana.., Real Madrid walikuwa tayari kumuuza kwa PSG kwa pesa ambayo ni ndogo kuliko hii ya Man United waliyotoa.., PSG wakakataa kwamba ni pesa nyingi ambayo hawakuwa tayari kuitoa.., sasa Issue ni kwamba iweje 14 games after Di Maria alizocheza Man United walipe Pesa zaidi ya ile ambayo Real Madrid walikuwa tayari kuchukua ila wengine hawakuchukua kwa kuona kwamba ni pesa ndefu ?

Issue ya kwanini hawakusajiri Defenders sidhani kama ni point sababu kama wamemsajiri Di Maria sio kwamba wanakatazwa kusajiri defenders pia, ukizingatia hata hapo katikati sidhani kama wamekamilika au sidhani kama hawamuhitaji mtu kama Di Maria (ukizingatia Coach ndio anajua mfumo wake na atamtumia vipi)
 
Sijakuelewa Di Maria amechezea Man United game 14?

Valuation ya mchezaji inategemea na timu inayomtaka PSG wamemnunua Luiz kwa £ 50 m but timu nyingine Luiz angeuzwa below 30 m, PSG now wanaanza kulalamika baada ya kupewa adhabu na UEFA kumbuka wameshawahi kusajili Cavani 55,Luiz 50 na Silva 47 so sidhani kama hiyo Euro ml 65 wangeshindwa

Kwa sasa United kuna pressure kubwa kwenye management(Ed Woodward) baada ya kuchemsha kwenye usajili msimu uliopita na msimu huu akasema hela ipo na wanaweza kuvunja rekodi ikibidi
 
Actually sio 14 games yaani mchezaji huyu ni mwezi mmoja uliopita na amecheza 14 minutes of competitive football price yake imepanda maradufu.. (kwahio hapa tunaweza kusema kupanda kwake kwa gharama sio kwamba kiwango chake kimepanda bali ni poor negotiating power ya Man United)

Hapa hatuangalii kwanini PSG wamenunua au kwanini hawakumnunua..., hapa issue ni kwamba huyu mtu mwezi uliopita alikuwa anauzwa bei ya chini ambayo PSG waliikataa..,(no matter the reason...) sio kwamba PSG ndio walipanga hio bei bali ni kwamba bei waliyoitaka Real Madridi PSG walisema ni bei ya juu...,

Kwa Maneno mengine hizo ndio zinaitwa Panic Buys.., na Overpaying.., Sababu value waliyokuwa wanataka Real Madrid mwezi uliopita ilikuwa ndogo.., na mambo yaliyotokea baadae ya kwamba Di Maria anataka kuondoka sitegemei kwanini Price ipande baada tu ya 14minutes of Competitive football kwahio ndio maana watu tunauliza kwamba this is overpaying... Real Madrid wameona jamaa wapo desparate wakawaongezea bei, na hii ndio ilitokea hata mwaka jana kusubiri mwishoni kufanya deals matokeo yake ni panic buys
 
Naomba Mungu dirisha lisifungwe bila kuwa na number 6 ya uhakika
 
Jaman watafanyaje tena na team haielewek
 
Unamlaumu fredericko kuwa hajawa kuwa kocha je wewe umewahi?
Ninavyo mimi Di Marie katokota kwenda Man U na Man U wametokota kumnunua Di Maria maana timu inahitaji kuwa overhauled na kutafuta mbinu mpya za uchezaji. Hii style yao puu puu bila kujua mpira unakwenda wapi bora liende hatuwafikisha popote. Juzi tu imetolewa Capital One na kitimu wala hakina jina
Wabongo bwana sijui tukoje!! hivi wewe mtoa post ulishawahi kuwa hata kocha wa timu ya mtaani kwenu!! siamin kama wewe unaweza kujua mapungufu ya klabu ya man u kuliko kocha wa timu pamoja na viongoz wa timu....acha ujuha kama wa akina shaffih dauda na mwenzeke maestro kujua mapungufu ya klabu za ulaya ilhali timu yao ya simba ikishindwa hata kuchukua kombe la shirikisho afrika....
 
Mkuu kula tano, nawashangaa sana wabongo wanavyojidai wajuaji ili hali wameshindwa hata kuisaiidia club zao za nyumbani
 
Back
Top Bottom