Nilishuhudia mpenzi wa MAN U akikataa kubeti upande wa timu yake... NikachokaMashabiki wa Man U hatuna haja ya kuhofia mechi yetu ya leo, kuku wako kwa nini kumfukuza, ataingia bandani nawe kumchukua na kumchinja, supu saaafiiii, leo twendeni kifua mbele na tena kwa kujidai kabisa, ushindi leo hauepukiki.
Gkgkgkkkk!Nilishuhudia mpenzi wa MAN U akikataa kubeti upande wa timu yake... Nikachoka
Inabidi mechi za Man U zihamishiwe kwenye Channel ya KidsCo 308, maana zinatuharibia ratiba.
Salini sana maana leo
View attachment 138627
Kwa sisi wa Startimes Kidsco imeondolewa.
pamoja mkuubado nil nil dkk 21