Man U ya saba tena

Man U ya saba tena

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Baada ya kuonja kiti cha nafasi ya sita kwa muda,Man U imerejea kwenye kiti chake cha msimu huu cha nafasi ya saba.Hii inafuatia ushindi wa bao 1-0 wa Everton walioupata dhidi ya West Ham United.Kwa ushindi huo,Everton imefikisha alama 48 kwa michezo 27 kama ya Man U.

Wakati huo huo Chelsea imeshinda mabao 3-1 dhidi ya washika mkia wa Fulham na kuendela kukalia usukani wa ligi huku Arsenal ikipokea kipigo cha bao 1-0 toka kwa Stoke City
 
Asante kwa update mkuu
 
Tangu familia ya glazzer inunue timu hawatoi pesa kununulia wachezaji

kwa sasa timu haziogopi tena jina la MANCHESTER UNITED
 
HIZO PESA ZA WACHEZAJI WATANO, NI Upuuzi kwa sabb wachezaji hawanunuliwi kama karanga, huwezi okota kila mchezaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom