man u vs man city live

dakika ni ya 92 man 1-2 corner inapigwa
 
dakika ni ya 93 man city wanaongoza kwa 2 na man u 1
 
na mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kazi kushnei thanks the champions goal scorer kun faya agueroooooo....
 
Msimu ulopita hii derby ndo ilibadilisha upepo.
Baada ya hapo ManU ni droo na kupoteza
Historia inajiandika kwa mara ingine!
naanza kuipenda ligi, japo ndo inaisha.
 
Nimefurahi kwamba ukame umeendelea kumuandama RVP. Suarezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…