man u vs man city live

chebi endelea kututangazia
 
Last edited by a moderator:
dakika ya 78 man city wanapata bao la 2
 
dakika ya 78 man u 1-2 man city
 
alikua ni ageuro ndiye aliyepiga bonge la shoot katika maeneo ya hatari na kumwuacha goalkeeper wa man u degea akinda sokoni na mpira ukaingia marikiti
 
tuhabarishe mkuu.dakika ya ngapi?bora man u wachapwe wanakelele sana
 
mabadiliko yanafanyika kwa man u anatoka rooney
 
dakika ya 80 barry anapewa njano
 
haya dakia ni ya 90 +4 man u 1-2 man city
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…