godsonswai
Senior Member
- Feb 1, 2013
- 129
- 54
Nilijua Rooney atakuwepo sasa kumbe majeruhi biashara ikaishia hapoShukran sana kwa utabiri wako mzuri
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nilijua Rooney atakuwepo sasa kumbe majeruhi biashara ikaishia hapoShukran sana kwa utabiri wako mzuri
Sina shaka tutasawazisha na kushinda hapa weupe tu wameshaanza kupoteana
kaka liver na man u wote maadui wangu tu,liver kwa kutubania suarez na man u kwa kutuchukulia jembe letu van p,wakitoka droo itakua poa lakin game ya arseanl naombea bunduki ziwaangukie spurs
Mkuu Aser yetu imekuwa dhaifu kutokana na huyu mzee wenger, yatupasa kubadilika maana siku hazigandi.
Nipo mako wa mechi, naona Liv kajikombowa imebaki zam yetu. Nasis Arsenal tujitahidi tushinde.
Copy- ITEGAMATWI kaka badala ya kutega masikio/itegamatwi naomba utazame machi
ya kwanza duwaa imegoma namba hata ya pila Asernal ashinde.
thanx sana kaka b blessed
siku nyingine tembelea hapa:
livescores.com
soccerway.com
m.goal.com
Utapata kila kitu kuhusu match fixture, team standing, live match, transfer news, etc.
Pamoja sana wa kukaya!Kumbe unaki-manya kikwetu eenh??
mkuu aser yetu imekuwa dhaifu kutokana na huyu mzee wenger, yatupasa kubadilika maana siku hazigandi.
Nipo mako wa mechi, naona liv kajikombowa imebaki zam yetu. Nasis arsenal tujitahidi tushinde.
Copy- itegamatwi kaka badala ya kutega masikio/itegamatwi naomba utazame machi
ya kwanza duwaa imegoma namba hata ya pila asernal ashinde.
Mpira umeisha na Asernal tumeshinda hureeeeeee!!!!!!!!!!!!!
Wenger aondoke?