man u vs liverpool,arsenal vs spurs

man u vs liverpool,arsenal vs spurs

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
wakuu naomba kujuzwa mechi hizo zitachezwa saa ngap kwa saa za bongo ama saa afrika ya kati?
 
Kwa mda wetu hapa Tanzania leo Tar 01 -09 -2013 itakuwa

Liv vs Man U saa tisa na nusu jion (1530hrs)

Ars vs Tot saa kumi na mbili kamili jion (1800hrs)
 
liverpool chinja chinja chinjaaaaaa hao mashetani chinjaaaaaa?
 
Kwa mda wetu hapa Tanzania leo Tar 01 -09 -2013 itakuwa

Liv vs Man U saa tisa na nusu jion (1530hrs)

Ars vs Tot saa kumi na mbili kamili jion (1800hrs)

thanx sana kaka b blessed
 
Liverpool itashinda leo United lazima wakae mapema tu kazi ipo badae jioni AVB vs Wenger hapatoshi
 
Tuko pamoja, unazitazamaje mechi hizo kaka? mawazo yako mkuu

Kwa kuangalia. upande wa wachezaji mmoja mmoja ManUtd wapo juu zaidi ya Liverpool kwa kuwa wana wachezaji wengi wazoefu wa Premier League kwa upande wa kocha wa Liverpool Brendan bado anaitengeneza Liverpool na wachezaji wake wengi si wazoefu wa Premier league ukiondoa wachache kama Steve Gerald,Sturridge,nk wakati ManUtd hawajabadilika ni walewale naona kwa upande huo ManUtd wanaweza kuibuka na ushindi kwa kuwa wachezaji wanacheza kitimu zaidi na hata mechi iliyopita manutd walitawala mchezo dhidi ya timu kama Chelsea,nadhani kwa upande wangu mimi Manutd leo inaweza kushinda

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nawaombea sare game zote mbili. Msije mkatutibulia Chelsea kule kileleni
 
Tuko pamoja, unazitazamaje mechi hizo kaka? mawazo yako mkuu

kaka liver na man u wote maadui wangu tu,liver kwa kutubania suarez na man u kwa kutuchukulia jembe letu van p,wakitoka droo itakua poa lakin game ya arseanl naombea bunduki ziwaangukie spurs
 
Liverpool 1 man u 0 goal limefungwa dk 3
 
Sina shaka tutasawazisha na kushinda hapa weupe tu wameshaanza kupoteana
 
polen sana ndugu zangu man u hao ndio u wil never walk alone,ngoja tumsubiri babu yetu wenger atufurahishe
 
Kwa kuangalia. upande wa wachezaji mmoja mmoja ManUtd wapo juu zaidi ya Liverpool kwa kuwa wana wachezaji wengi wazoefu wa Premier League kwa upande wa kocha wa Liverpool Brendan bado anaitengeneza Liverpool na wachezaji wake wengi si wazoefu wa Premier league ukiondoa wachache kama Steve Gerald,Sturridge,nk wakati ManUtd hawajabadilika ni walewale naona kwa upande huo ManUtd wanaweza kuibuka na ushindi kwa kuwa wachezaji wanacheza kitimu zaidi na hata mechi iliyopita manutd walitawala mchezo dhidi ya timu kama Chelsea,nadhani kwa upande wangu mimi Manutd leo inaweza kushinda

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Shukran sana kwa utabiri wako mzuri
 
Back
Top Bottom