Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
haya jama premier league ndiyo hiyo iko ukingoni kuiisha na kabla haijaisha man u ndio tayari kashatangaaza ubingwa kwa kua na point 84 dhidi ya man city 68points na michezo ikiwa imebakia 4 tu ambayo hata man city ashinde michezo yote hiyo hatomfikia man u kwa maana hiyo man u ndio bingwa wa barclays premier league .jee wadau unawapongeza man u au una lolote la kutuambia .