mmh! utawezaa?
kunyonya ni ibada kwa sababuuu, mungu ametuletea tiba na ili kumtukuza tunatakiwa kuitumia tiba aliyotupa ili tusipate huo ugonjwa! please sitaki maswali Eiyer
ukiniambia maana ya kulala kama inafanana na maana ya kutembea hapo nitakubali
Hapo juu nimesema maana ya ibada na haifanani na kunyonya na umekuja na kuendelea kusema kunyonya ni ibada
Nini kitakufanya ukubaliane na nitakachokisema kuhusiana na kutembea na kulala?
nadhani ninao
Nataka kujua ulichoelewa "hivyo" na hiyo hivyo niijue pianimeelewa hivyo hivyo! nilivyoelewa,,
Umesema kuwa "siji tena kanisani kwako"kinachonileta kipi?
Nataka kujua ulichoelewa "hivyo" na hiyo hivyo niijue pia
Umesema kuwa "siji tena kanisani kwako"
Hii inamaana kuwa ulikuwa unakuja
Lakini pia ulikuwa huji bila sababu,kuna sababu
Yaani kuna kilichokuwa kinakuleta
Sasa unaponiuliza tena mimi kilichokuwa kinakuleta unakuwa hunitendei haki kabisa!
Hivi ku assume ni kawaida ya wanawake?uuwiiiii we mwanaume unaniumiza kichwa, mkeo ana kazi aisee
Hivi ku assume ni kawaida ya wanawake?
Kwanini una assume kuwa mke wangu atapata shida?
Halafu unasahau kuwa hata hiyo shida ina tafsiri tofauti tofauti
Mfano:Hapa unaona maswali ni tabu wakati mwingine ndio anaota kuplewa na mimi ili afaidi maswali kwakuwa anayapenda
Kibaya kwako ni kizuri kwa mwingine
By the way,Sijaoa,nataka nije kwenu kutoa mahari
Will you marry me?
uuwiiii ntakubali kama tukikubaliana hutaniulizauliza maswali
basi sitakuwa tayari