Labda anataka yatokee kama yalio tokea Tunisia!
Ndio hapo sasa, kajitia kiberiti cha moto anakiona kweli...! Hapo alipo si hayari si mamati.Copycats!
Mambo mengine mtu ayafanye kisha afe, sio ajipatie kilema cha maisha!
Hovyo kabisa.
Tunapoelekea mkuu...! Mbona inajulikana, yaani tunatazama mbele lakini tunarudi nyuma, lakini mtu akitutazama anaweza kudhania kuwa tunaelekea kule tunakotazama.Siasa za Afrika na waafrika wake zinaelekea kufanana kwa kiwango kikubwa. Sijui tunaelekea wapi
Siasa za Afrika na waafrika wake zinaelekea kufanana kwa kiwango kikubwa. Sijui tunaelekea wapiTunapoelekea mkuu...! Mbona inajulikana, yaani tunatazama mbele lakini tunarudi nyuma, lakini mtu akitutazama anaweza kudhania kuwa tunaelekea kule tunakotazama.