Umeambiwa bado hajasilimu, anachofanya ni kujifunza.Hongera zake kwa kufuata mfano wa Mohamed ali na Tyson, sasa ataenda peponi
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofaut.
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan.
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu
Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
Utamaduni wa philipino ni vazi la kanzu?hivi kanzu ni dini au utamaduni?
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu
Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
wewe hujui impact ya mtu maarufu katika jamii? hujiulizi kwa nini makampuni makubwa hutoa mabilioni kwa ajili yakutangaziwa biashara zao na watu maarufu? unadhani mangumbaru hawawaoni. rudi shuleWaislam bana, mnafurahi sana mtu maarufu akisilim kuliko asie maarufu, kwani kuna tofauti gani kati ya roho ya mtu maarufu na asie maarufu katika uislam?
Au ndio kusema mnataka watu maarufu wautangaze uislam uwe maarufu, basi kama ndio hivyo kuweni kama adidas au nike, walipeni watu maarufu wawe wanavaa baji yenyr nembo islam kama kina messi au ronaldo au john cina wawe wanautangaza uislam.
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu
Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
Nawewe toa uwongo wako hapo, hizo sio kanzu za Qatar hiyo kanzu ya Emirate,nani amekataa kama mkatoliki? Wapi nimekwambia amekuwa muislamu?Kama hujui kitu ni bora unyamaze brother, kanzu ni vazi la Kiarabu na alivaa alipoenda Qatar mwaka jana,
Huyu jamaa ni mkristo safi sana na kumwacha Yesu ni ngumu, kama ilivyo jina lake "EMMANUEL"...
MFUATILIE ZAIDI HAPA OFFICIAL PAGE YAKE: Manny Pacquiao
View attachment 342062
uwe unaelewa! Kanzu ni vazi la tamadun za kiarabu na ndo mana ukienda kwao mfano dubai kuna waarubu wanaingia na ilo vaz mpaka kwenye mapombe, halafu wenye wanalichukulia kawaida sana tofaut na wengne ambao wakivaa kanzu wanajiona wameshafika peponi.Utamaduni wa philipino ni vazi la kanzu?
Kanzu ni sawa na overall ona mh. RC amepiga kanzu kwenda kufanya usafi!!