Man, 30, arrested for allegedly forcing 2-year-old boy to drink beer

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,479
2,000
Polisi wanamshikilia Mwanaume wa miaka 30 kwa tuhuma za kumlazimisha Mtoro wa miaka 2 kunywa bia wakati wa Siku Kuu ya Krismasi

Baada ya tukio hilo, Wanafamilia walimkimbiza Mtoto huyo Hospitali wakihofia kuwa Mtoto huyo anaweza kufariki

Wanakijiji waliandamana hadi Kituo cha Polisi kutoa taarifa ya tukio hilo na kusaidia kukamatwa kwa Mercus Kinyua ambaye anatuhumiwa kwa kumnywesha bia Mtoto huyo

Polisi wameonya tabia hiyo na kuongeza kuwa hali ya Mtoto ilikuwa mbaya kwani tayari kiywaji hicho kilimlevya

======
Police in Kirinyaga have arrested a 30-year-old man who allegedly forced a 2-year-old boy to drink beer during Christmas.

Nguka location chief David Muriithi Gikunju ordered the immediate arrest of the suspect after news of the act spread throughout the village.

Concerned family members rushed the inebriated young child to hospital after fearing for his health while demanding for the arrest of the suspect.

The suspect was identified as Mercus Kinyua from Nyakio village who is currently being held at the Nguka police post pending his arraignment in court.

The area chief blamed County Government of Kirinyaga for licensing village bars in in Nguka location.

‘Even the boy’s father has a bar and the man took the advantage to force the boy to drink the beer, the boy was drunk ‘, chief explained.

He also parent to take care of their children this festive season to avoid such occurences.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom