Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
heheheiyaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
full kutatalikaItakua "cha leo" hujakinunua pale pa siku zote!
Wamekurolia na mbegu! Mshaija wange.
hulali shosti!!
shost niliamka kwenda kukojoa nikakutana na hili li big brother kwa toi ndiyo nikaamua kulikemea kishambenga lol!!!!!!!
Yes you can!
Niko naangalia big brother yaani sioni mdada wa kunivutia hata mmoja....kusema kweli next edition Mamndenyi jitose utashinda! Hasa ukizingatia..........
shost niliamka kwenda kukojoa nikakutana na hili li big brother kwa toi ndiyo nikaamua kulikemea kishambenga lol!!!!!!!