Aisee nafikiri sasa iwe dereva kama huyo anafunguliwa kesi ya mauwaji kabisaasilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi
Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva
Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana
Nimeweka na kavideo kusindikiza
Uzi huu
Ova
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Black Sniper
OvaView attachment 2749932
mada iko serious uzembe wa madereva wewe umekomaa na Yanga,kwahiyo mpuuzi yeyote hata akijinyea amevaa jezi ya simba basi simba wote huwa mnajinyea!!!!!Unafikri Manara aliposema Yanga wenye akili ni wawili tu alikosea? Alikuwa sahihi kabisa.
Dereva mwenye akili hawezi kuovertake kipumbavu hivyo.
Kuqnzia dereva mpaka waliomo humo ni Mazuzu. Mashabiki na viongozi wote wa Yanga hawana akili.
Ova [emoji1787]
Madereva wengi wana matatizo ya akili hawafai kutumia chombo cha moto kabisa huko barabaraniAisee nafikiri sasa iwe dereva kama huyo anafunguliwa kesi ya mauwaji kabisa
Anakula mvua za kutosha
Kwa kweli nchi nyingi bado zinaona makosa ya madereva inahesabika kama ajali lakini nchi zlizoendelea wameanza kuwaadhibu vilivyo
Makosa kama haya ni kubeba license mazima
Duu
Akili yako finyu usilete kwa Wakubwa.mada iko serious uzembe wa madereva wewe umekomaa na Yanga,kwahiyo mpuuzi yeyote hata akijinyea amevaa jezi ya simba basi simba wote huwa mnajinyea!!!!!
kama hapa ni kwa wakubwa basi acha mambo ya msingi yajadiliwe kwa upana,mimba yako na yanga hapa sio sehemu yake ya kutolea malalamiko,peleka kwenye vijiwe vya boda boda wenzako huko.Akili yako finyu usilete kwa Wakubwa.
Unawaza kujinyea nyea tu, marinda huna!?
Nimesema ndiyo YANGA wenye akili ni wawili. Dereva kufanya alichokifanya ni upumbavu na kukosa akili.
Na huyo dereva ni shabiki wa Yanga. Na waliomo humo ni Mashabiki wa Utopolo.
Na kweli kabisa kuna vichaa wengi tuMadereva wengi wana matatizo ya akili hawafai kutumia chombo cha moto kabisa huko barabarani
Ova
.........Aliyekwambia gari za kukodishwa zote zinaendeshwa na mashabiki wa Yanga ni nani?Akili yako finyu usilete kwa Wakubwa.
Unawaza kujinyea nyea tu, marinda huna!?
Nimesema ndiyo YANGA wenye akili ni wawili. Dereva kufanya alichokifanya ni upumbavu na kukosa akili.
Na huyo dereva ni shabiki wa Yanga. Na waliomo humo ni Mashabiki wa Utopolo.
Brother ishu ya leseni wee acha tu kama kuna kitengo kinakiuka taratibu za utoaji leseni basi hicho kitengo kinaongoza kwa kutoa leseni kwa watu wasio sahihiasilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi.
Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva.
Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana
Nimeweka na kavideo kusindikiza
Uzi huu
Ova
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Black Sniper
Ova
View attachment 2749932
Kama ambavyo Paulo aliandika Waraka kwa Wakorintho, ndivyo ambavyo nami natuma salamu kwako mkorintokama hapa ni kwa wakubwa basi acha mambo ya msingi yajadiliwe kwa upana,mimba yako na yanga hapa sio sehemu yake ya kutolea malalamiko,peleka kwenye vijiwe vya boda boda wenzako huko.
ukiletewa jina la usajiri la mwenye gari na ukagundua dereva ni shabiki wa simba lia lia utakubali!!!
smart gin zinawaharibu sana madunduga fc.
Bibi yako ndiye kaniambia..........Aliyekwambia gari za kukodishwa zote zinaendeshwa na mashabiki wa Yanga ni nani?
Usiwe unaacha akili nyumbani.
...........Alichosema mtoa mada ni sahihi kabisa, Wagonjwa wa akili ni wengi sana.Bibi yako ndiye kaniambia.
Madereva wakipimwa akili,vichaa huko watawapata wengi sana...........Alichosema mtoa mada ni sahihi kabisa, Wagonjwa wa akili ni wengi sana.
Jenga hoja kwa mantiki. Anachosema ni kwamba, huyo dereva hawakilishi Yanga wote, which is true.Akili yako finyu usilete kwa Wakubwa.
Unawaza kujinyea nyea tu, marinda huna!?
Nimesema ndiyo YANGA wenye akili ni wawili. Dereva kufanya alichokifanya ni upumbavu na kukosa akili.
Na huyo dereva ni shabiki wa Yanga. Na waliomo humo ni Mashabiki wa Utopolo.