wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,215
Nyuzi zote za ajali ya New Force huwa unazileta wewe, inabidi uchunguzwe huenda unaihujumu hii kampuni
Weka picha ya ajali husikaBaada ya jana jumapili kupata ajali basi lake moja
Leo jumatatu gari lake jingine limemgonga mwanajeshi makambako...
Nyuzi zote za ajali ya New Force huwa unazileta wewe, inabidi uchunguzwe huenda unaihujumu hii kampuni
Kwa hiyo yeye ni dereve wa hayo mabasi?
NAKAZIANyuzi zote za ajali ya New Force huwa unazileta wewe, inabidi uchunguzwe huenda unaihujumu hii kampuni
Boya iyo mwezi wa sita nimereport
Ajali za
Newforce,Phoenix,Allys,malaika,njombe,Kilimanjaro,Rungwe,saibaba, na MM8
Umeona eehhhKama uchawi hivi
Huyo kaundiwa kamati. Wamiliki wa vyombo vya usafiri wengi wana hiyo michezo.. wakishindwa kukutoa ki police wanakutoa kwa kanuni za mababu.Umeona eehhh
Na anazileta kishabiki bila weledi wowote ule.. kwa maana anafurahia.. itakuwa ni miongoni mwa timu ya hujuma za Kiswahili kwa maana wanajua hadi eneo litakalotokea ajali.Nyuzi zote za ajali ya New Force huwa unazileta wewe, inabidi uchunguzwe huenda unaihujumu hii kampuni