Tetesi: Mamlaka za juu zimetengua utenguaji

Mleta mada anatushtua jinsi mambo ambayo Mzee baba anavyo panga kumtosa Ndugai issue ya CAG ili ije imchachie yeye na Mzee baba kuonekana shujaa.
Habari nilizonazo, Bwana ukaguzi kaombwa na Mzee baba aende tuu Dodoma hakuna kitu kule kisha yeye atafanya kitu kuonyesha wako pamoja.
Hapa ndio ile katuni ya Kipanya inayosema create tatizo kisha litatue.
Kuna lile la Lugola na ma RPC, amri imetoka kupuuza amri hiyo, nani atatoa zaidi ya IGP maana yeye hawezi? Ni Mzee baba. Hivyo tusubiri kuona Lugola akiwa frasturated na zile mbwembwe kwisha
Kiasi unaeleweka
 
Wana falsafa walioelewa na wana fasihi walioelewa mnieleze maana sijapata kitu.
 
Shikamo Mh Rais nafurahi sana unavyo waonyesha upo a head of them but silence i wish uwaonyeshe zaidi but more silence..
Walianza mjengoni ukawa kimya. Walipo ona husemi kitu wakaenda mbali nakukukashifu unampango wakumpeleka ndugu pale Kwa CAG, napo hekima ikatumika umekuwa kimya but silence ye work smart, ila kesho kutwa uwenda wana aibika wenyewe mzoga walio uingiza ndani na kujitangaza kwenye vyombo vya habari unawaozea wenyewe nakuwanukia wenyewe.

Mbaya zaid wataumwa pale watakuona una ongea na CAG tena mambo ya kazi wala sio umbea au vijembe na pia utaongea na uade mwingine mambo ya kazi...
Wakati haya hayajaisha yule wa kukata vichwa naye anajiuliza taratibu alizo tumia kukata vichwa na yale yanatokea nadhani sasa watu watajifunza kitu hasa wale wapo karibu sana na wewe.

Wao wanatumia vyombo vya habari kuleta sintofaham katika jamii wewe unapiga kimya kimya nakupunguza sintofaham ktk jamii..

Mbaya zaid walio tenguliwa walikuwa wakifuwatilia kesi nyeti ambazo uwenda hata wakata vichwa hawakujiuliza kilichopo nyuma ya pazia. yale yale ya yule mama pale mamlaka ya mawasiliano..
Jamani embu tujifunze Mh Rais yupo a head of us on issue very sensitive like this.. Tutamsema sana ila wateule wa Rais juweni kazi yenu sio kuwatisha watu na kufanya kazi kwa hofu. nyie mnawajibu mkubwa sana kufanya serikali ipendwe na watumishi wa serikali wapendwe.

Yapo mamb yakujaribu lakini mkifikia mahali mna tikisana mpaka mwimili unacheza ni aibu tena aibu kubwa sana yani kweli waziri anashindwa kukaa na IGP kuzungumzia maswala nyeti ya watendaji walio chini ya IGP? AU Spika mtu mkubwa sana anaweza kusimama na kumrushia maneno makali mteule wa Rais while zipo mamlaka zinazo weza kushughulikia hayo kimya kimya.

Mwanafalsafa mmoja akasema ukikimbizana na kichaa watu wanawaona wote ni vichaa, mwingine akasema sio kila kitu unapaswa kujibu kuna mambo ukikaa kimya usijibu hata kama ni shutuma mwisho wa siku anaye kushutumu ana aibika. Nampongeza Rais na idara zote za ikulu kwakuwa wavumilivu na kuepusha taasisi yetu nyeti kuonekana haitumii hekima

Sisi tunao angalia jicho lasita tunasema ni kweli kuna viashiria kuwa na uzalendo na taifa ama ni mtego mkijuwa wimbo ukianza kuna atakaye pokea?

Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.

Amen

Asante Magu nadubiria J3 nadhani wengi watazidi kusifu hekima na busara zako.Mun
bora ulivyoongeza nyama umetoa mwanga....

Kwamba Lugora alikurupuka, Kwamba Ndugai hakua na mawasiliano na Mkulu kwenye kumjibu CAG.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwendawazimu mwingine aliyetoroka Mirembe. Akamatwe haraka sana na kurudishwa Mirembe kabla hajaleta madhara makubwa kwa jamii.

Msifuni na kumtweza ila kwangu muuaji hata akifanya jema atabaki kuwa muuaji wa watu wasio na hatia na nina uhakika atapata malipo yake hapahapa
 
Alimuua mama yako?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Hivi shule zimefunguliwa kweli? Maana nasikia eti barabara zmefeli kuingia wakati ukame ulipoisha kwenye bwawa mwezi unangara sana kuliko jua. Alafu kesho ndo nlifka. Tusikilizaneeeee!!!
Hivi ndivyo nilivyouelewa huu uzi

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
Wabongo mchanganyiko..waume kwa wake. Ni wapenda umbeya hao balaaaa.

Ukiona huelewi Ujue UHUSIKI HAPO..kaaa kimya maisha yaende.

Saa nyingine KUJIFANYA UNATAKA KUJUA KITU NI KUTOKUJUA KILA KITU .

95% ya koment mnamponda jamaa sababu ya uzi wa mafumbo...wanaohusika wameshajua .....

Tulizen Ball wakuu...achen kumshambulia mtoa mada kwa ukilaza wenu wenyewe,,, Kihelehele cha paka. Kilimuua.
 
Sasa si ungemwandikia barua huyo unayemsifia huku umeleta kwa wasiohusika yanini? acha kujipendekeza utazibuliwa mafla

#bamia_ndefunene
 
Kuna lile la Lugola na ma RPC, amri imetoka kupuuza amri hiyo, nani atatoa zaidi ya IGP maana yeye hawezi? Ni Mzee baba. Hivyo tusubiri kuona Lugola akiwa frasturated na zile mbwembwe kwisha
Kangi amekosea sana kuingilia majukumu ya IGP hapo kachemsha
 
Back
Top Bottom