Mamlaka ya maji na ttcl wilaya ya kahama vipi?

MGAWARIZIKI

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
305
47
Mamlaka ya maji na kampuni ya simu TZ ni Taasisi ambazo zimekuwa zikipata hasara kubwa kila mwaka je mchawi wa tatizo hilo ni nani? Kwa mtazamo wangu mimi ni wao wenyewe,tukianza idara ya maji kumekuwa na tatizo la utendaji pindi mteja anapokosa huduma ya maji kutokana na kupasuka kwa mabomba yanayotawanya maji kwa wateja ukitoa taarifa hawaji kushughulikia tatizo mpaka uwape nauli na TTCL na wao vivyo hivyo zinapokatika nyaya za kuleta mawsiliano ndani ya nyumba au ofisi. Je ni halali kulipa hiyo nauli wanayoitaka au ni jukumu lao?
 
Back
Top Bottom