tonge nyama
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 380
- 498
Tuone aliyosema Mzee wa
Upako kwamba kama kutatokea mafuriko, basi yeye ataacha kuhubiri. Nani
zaidi? TMA vs Mzee wa Upako.
Naskiia ni mkwara tu ili watu wazibue mitaro na wafanye usafi. pita Tandale uone watu wafanyavyo usafi
Kama ni hivyo basi tahadhari hizo zitolewe kila baada ya miezi miwili ili wananchi wafanye usafi.
Mbona walisema mafuriko yangetokea mwezi wa Tisa?
haya ngoja tuoneMzee wa upako kasema ikinyesha yy anaacha kazi yake ya kuwapa watu upako(uchungaji)
Mbona walisema mafuriko yangetokea mwezi wa Tisa?
yamesogezwa mbele
Haahh hah, kiimani mzee wa upako kesha maliza kazi hivyo msiogope.. Watashindanaaaa... lakin hawatashinda..!
yamesogezwa mbele