Leo katika taarifa za habari wafanyakazi wa taasisi hizi wameonekana wakifanya vipimo kule Mwanza mlima Kisesa, lengo ni kujiridhisha na hali ya mionzi ya mnara wa hali ya hewa na madhara yake kwa wananchi.
Nazingatia kwamba mitambo yote inayofungwa nchini haifungwi mpaka ripoti ya madhara ya kimazingira (environmental impact analysis report) itoe mwelekeo. Tena, mitambo hii haifungwi bila kuhakikisha specifications zake ziko sahihi kulingana na mahitaji.
Sina uhakika kuhsu ni muda gani umepita tangu usimikwe na kufanya kazi pale; halafu, sina uhakika na siamini kwamba hawa wataalamu hawana specifications zitoazo kiashiria kuhusu ukali wa mionzi. N kama wakigundua ( which is ridiculous) kwamba madhara yamekuwa ni makubwa sana kwa wanaoishi jirani, sijui watafanya nini au, kama watatoa taarifa sahihi kweli.
Ikumbukwe kwamba mitambo ya aina hii imesimikwa na inafanya kazi sehemu nyingi tu hapa nchini, mojawapo ni pale Kifuru juu kule, wakazi wa Gongo la Mboto, Pugu, Kisarawe, Kinyerezi, Mnadani n.k mtakuwa mashaidi mtambo unaonekana.
Ntamani watambue uwepo wa wananchi sehemu hizi nyingine pia, na wawe tayari ku respond to pressure taarifa zitakapowafikia.