Mamilioni haya ya Ulega ninya nini sasa

Mamilioni haya ya Ulega ninya nini sasa

Joined
Feb 22, 2024
Posts
15
Reaction score
14
Mbunge wa Mkuranga ambae pia ni waziri wa ujenzi,
Pesa hizi anazogawa hadharani kama njugu anazipata wapi?

Je ni dalili ya ufisadi, rushwa na wizi wa mali ya umma?

Mbona anajiamini sana katika kutapanya pesa. Baadhi ya vikao vyake anatangaza yeye ni kipenzi cha mamlaka hawezi fanywa kitu na baada ya uchaguzi atakua waziri mkuu.

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia matumizi makubwa ya mabilioni ya shilingi kitu ambacho kimeibua hisia na maswali mengi kwa wananchi kuliko majibu

Tumefuatilia matumizi hayo kwa uchache ni kama ifuatavyo:

1. Mwezi wa 12, 2024 katika usomaji wa ilani, amefanya sherehe kubwa na kugawa pesa na zawadi kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa awali kabla hawajabalisha wapatao zaidi ya 1600, kiasi kinachokadiriwa zaidi ya milioni 600.

2. Mara tu baada ya wajumbe kuongezwa, wakafika zaidi ya 18,000. Amefanya ziara ya dharula mwezi wa tatu mfungo wa ramadhani na kutoa 500,000 kwa ajili ya ujenzi wa chama matawini matawi yote ya wilaya hii 247.

Akatoa milioni 3 kila kata kwa ajili ya ujenzi wa ofisi kata zote 25. Akatoa mradi wa viti wenye garama isiopungua milioni 6, kila kata kwa kata zote 25.

Akatoa sare za chama, futari na elfu 10 kwa mjumbe kwa wajumbe wote wapya zaidi ya 18,000. Katika ziara hiyo amefanya matumizi yanayokadiriwa zaidi ya milioni 800.

3. Amefanya semina za wazee zaidi ya 3000 wa mkuranga na kila mzee kumpa Elfu 50, amekata bima kwa wazee zaidi ya 700 wa mkuranga, amefanya semina kwa wenyeviti wa vijiji na kila mtu kumpatia zaidi ya 200,000 vijiji vyote 125.

Amefanya semina ya mabalozi wote zaidi ya 1600 na kila mmoja kumpatia kiasi cha elfu 50.

Amefanya semina kwa viongozi wote wa jumuiya na chama ngazi ya matawi na kutoa kiasi cha elfu 30 hadi hamsini kwa kila ujumbe. Na nk. Kiasi kinachokadirwa zaidi ya milioni 500

4. Sasa anafanya ziara ya kukutana na mabalozi na viongozi wote wa matawi wilaya nzima na kila mmoja kumpa elfu 40. Matumizi yanayokadiriwa kua zaidi ya milioni 700.

5. Ametoa gari kwa sheikh wa wilaya, katibu wa wilaya, katibu wa uwt kata ya tambani, ametoa pikipiki na matoyo kwa viongozi wengi wa makata, ametoa baiskeli kwa viongozi wote wa matawi 247 na nk. Matumizi yanakadiriwa zaidi ya milioni 500

6. Ameita wenyeviti wa vijiji, Viongozi wa kata, nawazee maarufu dodoma nyumbani kwake ili kuwashawishi kumuunga mkono. Kila mmoja amekua anampa kiasi kuanzia laki tatu hadi milioni 10 kutokana na nguvu na umaarufu wake. Ameita halmashauri kuu ya ccm wilaya dodoma katika usomaji wa budget na nk. Yote haya yanagarimu zaidi ya milioni 400

Haya ndio matumizi yanayojulikana ambacho kwa kipindi cha mwezi wa 12 hadi sasa ashatumis zaidi ya bilioni 3 za kitanzania kwa uwazi kabisa mbali na matumizi ya siri na familia yake.

Je, mshahara wa ubunge au uwaziri ndio anapata pesa hizi zote? Au ana biashara gani katika wizara ya ujenzi?

Huu sio ufisadi uliopitiliza? Hii ndio kumsaidia Raisi wetu katika kipindi hiki nchi inapitia changamoto ya barabara huku mama yetu akipambana kuingiza pesa nyingi katika miradi ya barabara, mchwa wanazitafuna?
 
Attachments

  • IMG-20250606-WA0037.jpg
    IMG-20250606-WA0037.jpg
    224.6 KB · Views: 20
Ukisikia mbunge aliahidi kuboresha mzunguko wa fedha jimboni kwake ndio huo sasa. Pia nadhani swali lingekuwa ameyapata wapi ila sio ya nini wakati matumizi yake umeyaona hapo.
 
Sikia hizo ni 10% za tender za ujenzi wa barabara. Amaewawekea mameneja wa tanroads nchi nzima target ni sawa na yule awesu wa maji. Wakikutana kwenye zile idd zao ndio huwa wanapelekewa mapesa hayo pia kuna namna nyingine mfano yule aliwaita mameneja wa idara za maji kule Tanga. Haina tofauti sana na maharage na January walivyokuwa wanaiba kupitia LUKU hadi wakaiicha tanesco haina kitu.
 
Mpinzani wake jimboni ni nani hadi atumie ela yote hiyo?
 
Kheri huyu anaupendo kwa watu wake wengine hawatoi hata senti tano!
 
Dah ...10%
Sikia hizo ni 10% za tender za ujenzi wa barabara. Amaewawekea mameneja wa tanroads nchi nzima target ni sawa na yule awesu wa maji. Wakikutana kwenye zile idd zao ndio huwa wanapelekewa mapesa hayo pia kuna namna nyingine mfano yule aliwaita mameneja wa idara za maji kule Tanga. Haina tofauti sana na maharage na January walivyokuwa wanaiba kupitia LUKU hadi wakaiicha tanesco haina kitu.
 
Nyerere alishatabiri haya mambo hadi mwisho wa utawala wa ccm
 
Jimbo barabara zote mbovu
Ila wajumbe wanapewa pesa kama njugu kila siku pesa

Waziri yupo busy ananunua miaka 5 mengine
 
Mbunge wa Mkuranga ambae pia ni waziri wa ujenzi,
Pesa hizi anazogawa hadharani kama njugu anazipata wapi?

Je ni dalili ya ufisadi, rushwa na wizi wa mali ya umma?

Mbona anajiamini sana katika kutapanya pesa. Baadhi ya vikao vyake anatangaza yeye ni kipenzi cha mamlaka hawezi fanywa kitu na baada ya uchaguzi atakua waziri mkuu.

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia matumizi makubwa ya mabilioni ya shilingi kitu ambacho kimeibua hisia na maswali mengi kwa wananchi kuliko majibu

Tumefuatilia matumizi hayo kwa uchache ni kama ifuatavyo:

1. Mwezi wa 12, 2024 katika usomaji wa ilani, amefanya sherehe kubwa na kugawa pesa na zawadi kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa awali kabla hawajabalisha wapatao zaidi ya 1600, kiasi kinachokadiriwa zaidi ya milioni 600.

2. Mara tu baada ya wajumbe kuongezwa, wakafika zaidi ya 18,000. Amefanya ziara ya dharula mwezi wa tatu mfungo wa ramadhani na kutoa 500,000 kwa ajili ya ujenzi wa chama matawini matawi yote ya wilaya hii 247.

Akatoa milioni 3 kila kata kwa ajili ya ujenzi wa ofisi kata zote 25. Akatoa mradi wa viti wenye garama isiopungua milioni 6, kila kata kwa kata zote 25.

Akatoa sare za chama, futari na elfu 10 kwa mjumbe kwa wajumbe wote wapya zaidi ya 18,000. Katika ziara hiyo amefanya matumizi yanayokadiriwa zaidi ya milioni 800.

3. Amefanya semina za wazee zaidi ya 3000 wa mkuranga na kila mzee kumpa Elfu 50, amekata bima kwa wazee zaidi ya 700 wa mkuranga, amefanya semina kwa wenyeviti wa vijiji na kila mtu kumpatia zaidi ya 200,000 vijiji vyote 125.

Amefanya semina ya mabalozi wote zaidi ya 1600 na kila mmoja kumpatia kiasi cha elfu 50.

Amefanya semina kwa viongozi wote wa jumuiya na chama ngazi ya matawi na kutoa kiasi cha elfu 30 hadi hamsini kwa kila ujumbe. Na nk. Kiasi kinachokadirwa zaidi ya milioni 500

4. Sasa anafanya ziara ya kukutana na mabalozi na viongozi wote wa matawi wilaya nzima na kila mmoja kumpa elfu 40. Matumizi yanayokadiriwa kua zaidi ya milioni 700.

5. Ametoa gari kwa sheikh wa wilaya, katibu wa wilaya, katibu wa uwt kata ya tambani, ametoa pikipiki na matoyo kwa viongozi wengi wa makata, ametoa baiskeli kwa viongozi wote wa matawi 247 na nk. Matumizi yanakadiriwa zaidi ya milioni 500

6. Ameita wenyeviti wa vijiji, Viongozi wa kata, nawazee maarufu dodoma nyumbani kwake ili kuwashawishi kumuunga mkono. Kila mmoja amekua anampa kiasi kuanzia laki tatu hadi milioni 10 kutokana na nguvu na umaarufu wake. Ameita halmashauri kuu ya ccm wilaya dodoma katika usomaji wa budget na nk. Yote haya yanagarimu zaidi ya milioni 400

Haya ndio matumizi yanayojulikana ambacho kwa kipindi cha mwezi wa 12 hadi sasa ashatumis zaidi ya bilioni 3 za kitanzania kwa uwazi kabisa mbali na matumizi ya siri na familia yake.

Je, mshahara wa ubunge au uwaziri ndio anapata pesa hizi zote? Au ana biashara gani katika wizara ya ujenzi?

Huu sio ufisadi uliopitiliza? Hii ndio kumsaidia Raisi wetu katika kipindi hiki nchi inapitia changamoto ya barabara huku mama yetu akipambana kuingiza pesa nyingi katika miradi ya barabara, mchwa wanazitafuna?
Mtu Mweusi amejawa na hasidi na fitina sana!!
 
Toa mchongo wa kumkaribia na sisi tule neema za nchi.
 
kuna kasimu iddy kasimu anajiita alhaji.au body dogo ingine kubwa anagawa sawana huyo na ni mbunge tu....kila kikao wajumbe wanagaiwa 20k hadharani....ahta wawe mia nne,kagawa baiskeli wkwa wenyeviti wote wa vijiji ..pikipiki 3 kila kata kwa watu wa ccm viongozi jimbo zima..pesa ni nyingi na anawatangazia wajumbe mwaka huu msipojenga hamjengi tena ni ishara anawapakimnya kimnya...jimbo la msalala
 
Mbunge wa Mkuranga ambae pia ni waziri wa ujenzi,
Pesa hizi anazogawa hadharani kama njugu anazipata wapi?

Je ni dalili ya ufisadi, rushwa na wizi wa mali ya umma?

Mbona anajiamini sana katika kutapanya pesa. Baadhi ya vikao vyake anatangaza yeye ni kipenzi cha mamlaka hawezi fanywa kitu na baada ya uchaguzi atakua waziri mkuu.

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia matumizi makubwa ya mabilioni ya shilingi kitu ambacho kimeibua hisia na maswali mengi kwa wananchi kuliko majibu

Tumefuatilia matumizi hayo kwa uchache ni kama ifuatavyo:

1. Mwezi wa 12, 2024 katika usomaji wa ilani, amefanya sherehe kubwa na kugawa pesa na zawadi kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa awali kabla hawajabalisha wapatao zaidi ya 1600, kiasi kinachokadiriwa zaidi ya milioni 600.

2. Mara tu baada ya wajumbe kuongezwa, wakafika zaidi ya 18,000. Amefanya ziara ya dharula mwezi wa tatu mfungo wa ramadhani na kutoa 500,000 kwa ajili ya ujenzi wa chama matawini matawi yote ya wilaya hii 247.

Akatoa milioni 3 kila kata kwa ajili ya ujenzi wa ofisi kata zote 25. Akatoa mradi wa viti wenye garama isiopungua milioni 6, kila kata kwa kata zote 25.

Akatoa sare za chama, futari na elfu 10 kwa mjumbe kwa wajumbe wote wapya zaidi ya 18,000. Katika ziara hiyo amefanya matumizi yanayokadiriwa zaidi ya milioni 800.

3. Amefanya semina za wazee zaidi ya 3000 wa mkuranga na kila mzee kumpa Elfu 50, amekata bima kwa wazee zaidi ya 700 wa mkuranga, amefanya semina kwa wenyeviti wa vijiji na kila mtu kumpatia zaidi ya 200,000 vijiji vyote 125.

Amefanya semina ya mabalozi wote zaidi ya 1600 na kila mmoja kumpatia kiasi cha elfu 50.

Amefanya semina kwa viongozi wote wa jumuiya na chama ngazi ya matawi na kutoa kiasi cha elfu 30 hadi hamsini kwa kila ujumbe. Na nk. Kiasi kinachokadirwa zaidi ya milioni 500

4. Sasa anafanya ziara ya kukutana na mabalozi na viongozi wote wa matawi wilaya nzima na kila mmoja kumpa elfu 40. Matumizi yanayokadiriwa kua zaidi ya milioni 700.

5. Ametoa gari kwa sheikh wa wilaya, katibu wa wilaya, katibu wa uwt kata ya tambani, ametoa pikipiki na matoyo kwa viongozi wengi wa makata, ametoa baiskeli kwa viongozi wote wa matawi 247 na nk. Matumizi yanakadiriwa zaidi ya milioni 500

6. Ameita wenyeviti wa vijiji, Viongozi wa kata, nawazee maarufu dodoma nyumbani kwake ili kuwashawishi kumuunga mkono. Kila mmoja amekua anampa kiasi kuanzia laki tatu hadi milioni 10 kutokana na nguvu na umaarufu wake. Ameita halmashauri kuu ya ccm wilaya dodoma katika usomaji wa budget na nk. Yote haya yanagarimu zaidi ya milioni 400

Haya ndio matumizi yanayojulikana ambacho kwa kipindi cha mwezi wa 12 hadi sasa ashatumis zaidi ya bilioni 3 za kitanzania kwa uwazi kabisa mbali na matumizi ya siri na familia yake.

Je, mshahara wa ubunge au uwaziri ndio anapata pesa hizi zote? Au ana biashara gani katika wizara ya ujenzi?

Huu sio ufisadi uliopitiliza? Hii ndio kumsaidia Raisi wetu katika kipindi hiki nchi inapitia changamoto ya barabara huku mama yetu akipambana kuingiza pesa nyingi katika miradi ya barabara, mchwa wanazitafuna?
Nchi linagawanwa kwa sababu linaongozwa na takataka! CCM ilishajifia, wito wangu ni kwamba siku nchi ikapata ukombozi, hizi hela wazitapike hata kama watakuwa walishakufa!
 
Back
Top Bottom