jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Picha huwa ni kioo cha kile unachokisema.
Sasa hii ya kusema watu mia halafu picha inaonyesha huyu binadamu alikuwa na mkutano wa kaya ni mwendelezo wa ulaghai ndani ya CHADEMA.
CHADEMA kimejaa watu ambao ni mafundi wa kutengeneza uongo na kutaka kuaminisha kwa nguvu zote kuwa kweli.
Siyo ajabu hata migogoro yao inawashinda kuitatua. Huwezi ukasimamia matendo ya kilaghai ukategemea kutoa haki. Never!
Ulaghai unaitafuna CHADEMA.
Kwa sasa wanawalaghai watu kuwa CCM ndiyo kichocheo wakati ulaghai wao ndiyo chanzo cha migogoro.
Sasa kama unadai "ulaghai unaitafuna chadema" nyinyi sisiem mnawashtua kwanini? au haujui ulichotaka kusema.