Mamia Pangani wahamia CHADEMA.

Mamia Pangani wahamia CHADEMA.

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,331
Wanachama 85 waliokuwa CUF, ADC na CCM wilayani Pangani wamehamia CHADEMA leo mara baada ya kukutana na katibu wa kanda ya kaskazini Bw Amani Golugwa alipo kuwa anafanya ziara ya kukagua zoezi la Chadema ni msingi wilayani humo.

Miongoni mwa wamachama hao alielezea namna walivyo wahi kupelekwa kisiwani Pemba wakiwa wamevalishwa mavazi ya kijeshi ili wakapigie kura chama tawala wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010.

Zoezi la chadema ni msingi linaendelea kwa kasi mkoani Tanga huku mamia ya wananchi wakizidi kujiunga na chadema, miongoni mwa wananchi hao amekemea propaganda mbaya za udini zilizokuwa zinatumiwa na ccm dhidi ya vyama vya upinzani kwa kusema kuwa zimechangia kwa kiasi kikubwa sana kuleta mgawanyiko na malumbano ya udini yasiyo kuwa na tija kwa taifa.

Alisema mara zote ccm wamewaaminisha watu wa Pangani kuwa CUF ni chama cha waislamu na chadema ni chama cha wakristo lakini hakuna hata siku moja ambayo ccm wamesha wahi kusema kuwa wao ni chama cha watu gani. "...Baada ya sisi kutumiwa sasa tumeamua kufuata chama chenye dhamira na nia ya dhati kutukomboa"

Jana wanachama zaidi ya 70 wa kata ya kiomoni wilayani Tanga ambayo hivi karibuni kwenye uchaguzi wa kitongoji chadema iliibuka mshindi wamejiunga na chadema na wako kwenye maandalizi ya kushinda kiti cha udiwani kilicho wazi kwenye uchaguzi mdogo unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi Februari.
 
Attachments

  • 1387740589807.jpg
    1387740589807.jpg
    30.6 KB · Views: 480
  • 1387740992438.jpg
    1387740992438.jpg
    26.4 KB · Views: 453
  • 1387741059945.jpg
    1387741059945.jpg
    32.4 KB · Views: 437
Hayo mamia ako wapi, mbona unaonekana peke yako?
 
Habari ya mjini ni zitto kuzidi kutikisa nchi
 
Wanachama 85 waliokuwa CUF, ADC na CCM wilayani Pangani wamehamia CHADEMA leo mara baada ya kukutana na katibu wa kanda ya kaskazini Bw Amani Golugwa alipo kuwa anafanya ziara ya kukagua zoezi la Chadema ni msingi wilayani humo.

Miongoni mwa wamachama hao alielezea namna walivyo wahi kupelekwa kisiwani Pemba wakiwa wamevalishwa mavazi ya kijeshi ili wakapigie kura chama tawala wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010.

Zoezi la chadema ni msingi linaendelea kwa kasi mkoani Tanga huku mamia ya wananchi wakizidi kujiunga na chadema, miongoni mwa wananchi hao amekemea propaganda mbaya za udini zilizokuwa zinatumiwa na ccm dhidi ya vyama vya upinzani kwa kusema kuwa zimechangia kwa kiasi kikubwa sana kuleta mgawanyiko na malumbano ya udini yasiyo kuwa na tija kwa taifa.

Alisema mara zote ccm wamewaaminisha watu wa Pangani kuwa CUF ni chama cha waislamu na chadema ni chama cha wakristo lakini hakuna hata siku moja ambayo ccm wamesha wahi kusema kuwa wao ni chama cha watu gani. "...Baada ya sisi kutumiwa sasa tumeamua kufuata chama chenye dhamira na nia ya dhati kutukomboa"

Jana wanachama zaidi ya 70 wa kata ya kiomoni wilayani Tanga ambayo hivi karibuni kwenye uchaguzi wa kitongoji chadema iliibuka mshindi wamejiunga na chadema na wako kwenye maandalizi ya kushinda kiti cha udiwani kilicho wazi kwenye uchaguzi mdogo unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi Februari.

Hahahahahha kichwa cha habari MAMIA WAHAMIA CHADEMA. habari kamili watu 85. Lol😀😀😀😀😀
 
Hahahahaha mbona upo mwenyewe bro....hahahahha kama huna cha kupost soma post za wenzako
 
Mtoi,
acha uongo, gharama ya uongo ni kubwa mana inaweza kukushushia heshima na thamani a utu wako

ktk taarifa yako umetoa takwimu za watu 85 na hapo hapo 70. Unapodanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu
 
Nimefungua haraka huu uzi nikijua umeandikwa na mtu wa maana nilivyoona jina lako nikajilamu sana kupoteza muda wangu
 
Mtoi,
acha uongo, gharama ya uongo ni kubwa mana inaweza kukushushia heshima na thamani a utu wako

ktk taarifa yako umetoa takwimu za watu 85 na hapo hapo 70. Unapodanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu

Kakae na mwalimu wako wa hesabu za darasa la kwanza umuulize watu 85 wa Pangani + watu 70 wa kiomoni wilayani Tanga jumla yake ni ngapi?!

Ukipata jibu kameze panadol upumzike.
 
Habari ya mjini ni zitto kuzidi kutikisa nchi

WRONG. Habari ya mjini ni CCM na serikali yake kuwatesa wananchi, kubaka akina mama na kuwaingizia chupa za soda sehemu za siri katika operation tokomeza ujangili. Kwa nini hawajaenda kumuingizia chupa yule KM anayetajwa kuwa ana meli zinazopeleka meno ya tembo kila siku huko? Ona hii eti hao ndio walinzi wa wananchi
View attachment 128273
 
Mijitu mingine bana ni majanga yaani inaubishi sana hata uyaambie kiaje itabaki tu mibishi hasa ile ishabikiayo Maccm ni aibu sana.Unakuta Maccm humu ndani yako na ID zaidi ya tano na yakileta uzi yanachangia yenyewe yaani lile lile lililoleta uzi ndo litauchangia hadi mara kumi thats shame to Maccm.Hakuna chama makini na chenye viongozi makini kama CHADEMA hapa kama mtabisha itisheni maandamano.Safi sana watu wangu wa Pangani kwa kufahamu ukweli wa jinsi inchi inavyoendeshwa Kigambagamba na nyie mkaona its too much so mkaamua kuvua mijigamba karibuni sana CHADEMA chama kisicholemba Peoples Power
 
Hahahahahha kichwa cha habari MAMIA WAHAMIA CHADEMA. habari kamili watu 85. Lol😀😀😀😀😀

Kuna watu wajinga mnajifanya mna akili lakini kumbe kichwani ni mbulumundu plus plus. Umeambiwa mamia ya watu waamia chadema. Hao 85 ni wale waliotokea ADC, CUF na CCM tu. Angeanza kutaja wa NCCR,TLP Pona, SAU, Chaumma wangefika idadi ya mamia. Hao 85 ni wa CUF, CCM na ADC.
Mgosi Mohamedi Mtoi asante kwa taarifa ya kutia moyo kwenye harakati hizi za kumtoa mkoloni mweusi
 
Last edited by a moderator:
kama cdm na cuf ni vyama vya kidini basi ccm ni chama cha mashetani na kibwetere. Na ndio maana wanaunda makundi ya kishetani kama Tokomeza kupora na kutesa na kudhalilisha watu kwa kusweka chupa kwa nyeti za watu
 
Back
Top Bottom