Mameya wa jiji la Dar es Salaam

Mameya wa jiji la Dar es Salaam

JUST

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
552
Reaction score
236
Ndugu wana JF,

uchaguzi wa madiwani na wabunge umeshamalizika Dar es Salaam. Je, kuna uwezekano wa mameya kutoka upinzani kwa mara ya Kwanza?

Maana kwa Segerea madiwani wote ni Ukawa, sijajua mgawanyiko kwa majimbo mengine.
 
Manispaa ya ilala ina majimbo ya ilala,ukonga na segerea kwa hiyo madiwani kutoka kata za majimbo hayo pamoja na wabunge ndio wataunda baraza.mwenye madiwani wengi ana nafasi kubwa ya kumtoa meya
 
Pamoja na kwamba nimekuwa nikimpigia debe JPM, Meya toka kambi ya upinzani ni jambo jema mno!
 
Kwa kuongoza majimbo saba madiwani Jiji la DSM litapata Meya wa Upinzani kwa mara ya kwanza, ningekuwepo ningependekeza Diwani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob awanie kiti hicho
 
Kwa kuongoza majimbo saba madiwani Jiji la DSM litapata Meya wa Upinzani kwa mara ya kwanza, ningekuwepo ningependekeza Diwani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob awanie kiti hicho

Kwanini?
 
Chama chenye madiwan weng kina nafas kubwa
NB: UKAWA sio chama, nahis bado CCM ina nafas kubwa kutoa mameya kwa manispaa za dsm
 
ukawa ...wataunda mameya katika halmashauri ya ilala na kinondoni ..ccm wataunda temeke pekee..meya wa jiji atatoka ukawa ..mani imekula kwake..labda agombee umeya wa temeke
 
Nasikia Manji ananyemelea nafasi ya Umeya
manji akipata tumekwisha, hapo tu ashawauzia matera ya kuzoa taka taka feki, angalau, fedha za ddc na uda zinarudi, safari za kuanzia fery to kariakoo zitarudi.
 
Back
Top Bottom