Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,047
- 134,349
Tungo, mbwembwe, na hisia za kujifariji ni reli ndeefu itakayotumiwa kupitisha mambo hayo hadi mwishoni mwa 2019........
Act ina mbunge mmoja kama taa ya kuwindiaTungo, mbwembwe, na hisia za kujifariji ni reli ndeefu itakayotumiwa kupitisha mambo hayo hadi mwishoni mwa 2019........
Mtaumia sana mawakala wa magambaTungo, mbwembwe, na hisia za kujifariji ni reli ndeefu itakayotumiwa kupitisha mambo hayo hadi mwishoni mwa 2019........
Nampenda sana lowassa. Ndiye aliyefanya niwapende UKAWA pia. 2020 nitakupa kura yangu tena lowassaMameya wa Ilala na Kinondoni wamemtembelea Mh.Lowassa nyumbani kwake na kupata nasaha za nguvu kutoka kwa Lowassa.
Mh.Lowassa amewaasa mameya kupiga kazi na kuionyesha Tanzania na dunia kuwa watakayoyafanya Dar ndio angeyafanya kwa Watanzania wote.
Lowassa amelaani zoezi la bomoabomoa na kusema ni kinyume na haki za binadamu.
Aidha Lowassa amesisitiza madiwani wahakikishe mapato yanakusanza kwa wingi ili kuwezesha utoaji wa huduma.
Aidha madiwani wamemshukuru Kamanda Lowassa kwa mchango wake mkubwa kwenye ushindi wao.
Mtumwa wa Lowasa......haya zungusha mikono.......ushakunywa maji mtoni sasa unahorohojaAct ina mbunge mmoja kama taa ya kuwindia
Kafanya nini?Mzee Lowasa ni mtu aliye na kichwa simart sana
Nasikia astashahada za usanii zimeanza kutolewa mikocheniMtaumia sana mawakala wa magamba
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeehMtumwa wa Lowasa......haya zungusha mikono.......ushakunywa maji mtoni sasa unahorohoja
Treni hiyoooooooooo hadi mwandigaNasikia astashahada za usanii zimeanza kutolewa mikocheni
Walianza wafanyabiashara....
Watafuata wale vijana wa kikenya wa tallying
Mkuu nakupongeza kwa uamuzi sahii maana kura yako haikupoteaNampenda sana lowassa. Ndiye aliyefanya niwapende UKAWA pia. 2020 nitakupa kura yangu tena lowassa
Nasikia unavyompenda Luwasa upo radhi kudeki mazizi yake kwa ulimi.....Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh
Act wanawayawaya na taa ya treni
Mtaendelea kuteseka sanaNasikia astashahada za usanii zimeanza kutolewa mikocheni
Walianza wafanyabiashara....
Watafuata wale vijana wa kikenya wa tallying
Vipi mbona hatujaona alivyopokea tuzo........ya congo?Treni hiyoooooooooo hadi mwandiga
Teh Teh Teh mkuu wewe ni nomaAct ina mbunge mmoja kama taa ya kuwindia