cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,131
Na iwe hivyooo.Usiwe na wasiwasi mrembo,hata Mamelody wabaki8 uwanjani Yanga hawezi pata hata sare

Sasa huyo mtoto thembankosi Lorch si mmemuona leo???kaweka 2 peke ake,haya huyo khuliso mudau laana zake mmeziona lakini???JAMANI HAWA MAMELODI WATAUA MTU NYIE HAYA




Maseko hawezi cheza Bongo, mpe heshima yake plz.Sasa imagine mtoto thapelo maseko namba 17 mgongoni,na kiwango chote kile anakula mbao ndefu,akati akija huku Tz ndio staa zaidi ya chama na pakome






Sawa 😁😂mpee salamuu majeruhi wako, mudau ndo atamvunja uti wa mgongo awe kiweteee.
Labda ASFCKwani Al ahly nao wanashiriki MAPINDUZI CUP?




Uliisema hivi hivi kwenye mechi ya belouizdadyaan mpe salamu kwelii, we haya tyuuh.
Habari zenu MASANDAWANA... leo timu yetu itawasili nchini ikitokea Afrika Kusini.
Naunga mkono hoja 🤣😁😎Uzi huu ni mtamu sana kwa matumizi ya baadae🤸