Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu

Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa.

Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini.

Ila ukweli Mamelodi watakutana na kile walicho kutana nacho mechi ya wydad

Wata droo dar es Salam 0-0.

Wanaenda kuangukia kwao uko sare ya 1-1

Ni swala la Muda tu
 
20240313_090408.jpg

Naunga mkono hoja
 
Kwenye Mtoano, binafsi naona bora kuanzia Nyumbani, coz mechi ya Marudiano unakua unajua Matokeo ulonayo...!

Ndo pale unaona Team inaona hata ikipaki Bus na wameshafungwa ni kazi bure....! Wacha washambulie, na Yanga ana uzoefu na Mechi za Ugenini na kupata Matokeo.
 
Ushabiki wa mpira Tanzania umevuka kiwango na kuwa ushenzi na upum*bavu uliopitiliza.

Pia ulimbukeni wa TEHAMA unachangia kuwa na idadi kubwa ya wachambuzi na wanahabari feki.

Unayaweka maoni na mahaba Yako binafsi kuwa Sheria au siyo?
 
Kaweka ya kwake
Na kwanini usiweke yako?

Kuruta una tabu sana panda hata cheo jitahidi
 
Ushabiki wa mpira Tanzania umevuka kiwango na kuwa ushenzi na upum*bavu uliopitiliza.

Pia ulimbukeni wa TEHAMA unachangia kuwa na idadi kubwa ya wachambuzi na wanahabari feki.

Unayaweka maoni na mahaba Yako binafsi kuwa Sheria au siyo?

Mungu atupe tu uzima ndugu yangu
Sina maneno mengi na Kama nilivyo sema hapo juu kuwa kuna baadhi ya watu Wataona naongea kiushabiki ni Sawa ni maoni Yao
Lakini Mimi na kuapia hakika haya maneno yangu yatatimia na ikitokea siku hiyo Mungu katupa uzima tutakutana Tena hapa
 
Kuna nyuzi huwa nazikumbuka, ikiwemo utabiri wa kombe la shirikisho na kelele za hatumtaki Robertinho zitaishia kwa Yanga kufungwa na Ihefu huku Simba ikishinda dhidi ya Prisons. Ngoja tione safari hii kama utapatia tena basi upewe tuzo za mbashiri bora hapa jukwaani
 
Kwa hiyo Yanga mmeona isiwe tabu mkaamua kwenda kufanya mazoezi kwenye matenki ya mafuta ya GSM ili yawalipukie mpate sababu ya kutocheza na Piano Boyz?

Hii timu imeshajikatia tamaa masikini.
 
Kuna nyuzi huwa nazikumbuka, ikiwemo utabiri wa kombe la shirikisho na kelele za hatumtaki Robertinho zitaishia kwa Yanga kufungwa na Ihefu huku Simba ikishinda dhidi ya Prisons. Ngoja tione safari hii kama utapatia tena basi upewe tuzo za mbashiri bora hapa jukwaani

Mungu tu ndugu yangu atupe uzima
Naamini wote tutaona kitakacho tokea uko South Africa
 
Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu

Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa.

Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini.

Ila ukweli Mamelodi watakutana na kile walicho kutana nacho mechi ya wydad

Wata droo dar es Salam 0-0.

Wanaenda kuangukia kwao uko sare ya 1-1

Ni swala la Muda tu
Mkuu Unapaswa Kua Nabii Wewe Aisee Ulijuaje Kama Leo Kuna Sare ya 0-0 Naanza Kuamini Hii Nyuzi Yako Hapa Jamvini
 
Ushabiki wa mpira Tanzania umevuka kiwango na kuwa ushenzi na upum*bavu uliopitiliza.

Pia ulimbukeni wa TEHAMA unachangia kuwa na idadi kubwa ya wachambuzi na wanahabari feki.

Unayaweka maoni na mahaba Yako binafsi kuwa Sheria au siyo?
Chambua...!!
 
Back
Top Bottom