Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

Sasa hapo na yeye alikuwa akaekimnya mpaka jengo lianguke au sikufahamu vzuri kamanda alivyosema.
 
Asilimia kubwa ya kuanguka kwa popularity ya Magufuli imechangiwa na hawa watu, Binafsi naamini hatua nyingi alizochukua Magufuli zilikuwa ni za lazima na watu wamezipigia makelele kwa miaka mingi sana tatizo linakuja njia za wataalamu wake ni za ovyo mno badala ya kutatua zinaongeza matatizo na sasa huku kujipendekeza watu wamekuwa wavivu hata kujibu hoja kila kitu polisi au kununua upinzani kwa mambo hayo unajua kabisa hapa sio tatizo la raisi.

Imagine kwenye hili sakata raisi kashambuliwa sana kutoa hizo hela, lakini kaelelezea sababu zake ni kuwatoa vijana wanaokaa mitaani kukwepa vishawishi vingine na wajikite kwenye masomo, the guy even went further kukitaka chuo kiwapangishe kwa kodi nafuu kwa sababu hela katoa yeye na ikiwezekana wanunue mabasi hata mawili kuwafuata wanao kaa hostel za mbali kuwaraisishia kufuka chuo. Yote hayo katika kuwajali wanafunzi, sasa yeye anahusika vipi na hizi nyufa if anything raisi ndio victim ambao TBA walitakiwa sasa kuwa kwenye media wanatoa apology kwa kumuangusha.

Lakini mijitu inaenda kumkamata kijana anaetoa habari wajenzi wameboronga kazi na pengine kuiviruga plan ya raisi. Where is the defence ina maana watu hawawezi hata kumtetea raisi kwenye mambo mepesi bila ya ulazima kuonekana yeye ndio adui kwenye kila kitu ata pale yeye mwenyewe anapoanzisha good will projects kwa huruma zake.

This is too much hakuna mtu mwenye monopoly ya kutoa habari wala kulinda mali za umma, hizo ni rights ambazo tumepewa watu wote kwa mujibu kwa wakatiba

Haki ya Uhuru wa Mawazo

18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.


27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda mali asilia ya Jamhuri ya Muungano, mali ya Mamlaka ya Nchi na mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuiheshimu mali ya mtu mwingine.
(2) Watu wote watatakiwa na sheria kutunza vizuri mali ya mamlaka ya nchi na ya pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifu na ubadhilifu, na kuendesha uchumi wa taifa kwa makini kama watu ambao ndio waamuzi wa hali ya baadaye ya taifa lao.

If anything huyo kijana ni raia mwema mwenye kutaka kuona maendeleo ya Tanzania, tatizo la jeshi la polisi kwa sababu wapo busy kujipendekeza ata receptive ya information inatafuta wapi kunaweza chanzo cha bad publicity bila ya kujali raisi ahusiki matokeo yake ni kumtengenezea bad image unnecessary. Hata huyo Kagame anakoselewa na bunge lake na wanachama wake na habari zinachapishwa kwenye magazeti katika maswala ya maendeleo ya taifa lao. Mwaka jana tu bunge lilimjua juu kuhusu purchase zake na ndege za mikopo wakati shirika lenyewe linatengeneza hasara na hakuna aliekamatwa.
 
Nchi yangu, Tanzania yangu, tunalalamikiana hatuna UZALENDO, ila anapojitokeza mzalendo halisi anakandamizwa na kufanywa kafara. Alafu kila siku politisiani wanataka vijana wawe wazalendo kweli!
 
Hayo majengo yalianguka kwasababu na kuua hadi kuumiza watu kwakuwa hakukuwa na watu kama Kumbusho ambao wangetoa taarifa kabla ya madhara. Kama hapa amejichanganya. Hizo nyufa ni kweli zipo kwenye joint? Huyu kijana ni whistle blower angepaswa kupongezwa badala ya kusumbuliwa. Tunawahitaji sana watu kama huyu kijana na Lissu kwakuwa mambo mengi yanayoggarimu pesa za umma viongozi wanachukulia kama wao ndio wenye hati miliki ya kuyajua na kuyamakiza kimya kimya lakini kwa kutumia mabilioni ya walipa kodi. Hebu tujiulize hivi Lissu asingesema kuhusu bombadia kushikiliwa Canada tungejuaje? Kuna kiongozi yeyote wa serikali ambaye angesimama hadharani kutwambia kuhusu hiyo ndege kushikwa. Wamekuwa wakali kwakuwa walitaka iwe siri yao ili watumie mabilioni ya walipa kodi kimya kimyakulipa fidia.
 
Mmh,Nimevutiwamno na hili "Hakuna Polisi anayevaa mask na kupiga watu"
 
Ni kachochezi ka chadema.. kamata tu tupa ndani. Kametengeneza hizo picha ionekana kama mahandaki kumbe ni crack tu za kawaida.
Crack za kawaida upo udsm apa ww au unaongea tu kutuletea ujingawenu na vyama vyenu watutunakaa hapa atuongei ila ww kiherehere ata ujapaona
 
Kubwa zima linafuka pumba kiasi hiki.
Kwani ubovu wa hilo jengo madhara watayapata wanaoishi humo au mmiliki wa jengo?
yaan watu wanaishi kwenye jengo ambalo ni hatari kwa maisha yao wakae kimya...
Eti UZUSHI kwa hiyo jengo halina nyufa??
Viongozi wengi walio chini ya magufuli ukikaa na kuwaza sometimes unaweza sema hawa jamaa hawana ubongo kabisa coz reasoning yao ni ya chini sana

Kujipendekeza na kutosema ukweli wao wanaita uzarendo
 
Bravo sana respect wa boda
 
naomba niseme kitu , ngoja wataa lamu wa sheria waeleze kumbe sijui nikiona jambazi linaenda kuvamia sehem niwe kijmya maana anaye vamiwa hanihusu utakuwa uzushi only in tanzania
 
no wonder why they used to recruit form four failure in our police force
huyu ana leaving certificate tu, mtu mwenye D mbili hawezi fikiri kipuuzi namna hii?

eti mbona mengine yamekuwa na nyufa na pengine kuanguka ila hamkuvutiw kuyasemea (upumbavu kabisa, unashabikia ujinga )

yaani mtu unaongea upuuzi aibu tunaona sisi.
 
Jamani tuiunge serikali yetu mkono, wameshasema hizo ni expansion joint

Hakuna haja yakuwa wapinzani



nahisi hata walioko ndani ya hilo jengo wajiandae kuexpand
Uko sahihi mkuu ila naomba nikusahihishe sehemu moja tu, Jengo likiexpand waliomo wanatakiwa kushrink.
 
Sasa ni uzushi gani uliosambazwa hapo? Manake uzushi ni uongo.

Kilicho cha uongo kwenye hizo nyufa za hayo majengo ni nini au ni kipi?

Yaani hawa watu bana! Hivi huwa hata hawajistukii juu ya hizo pumba wazitoazo?

Foolish....

Taratibu mliyataka wenyeweee !
Hayo ndiyo yanayotakiwa kusemwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…