DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
WACHACHE WANAONGOZA NA WENGI WANAFATA.
Ukiangalia jamii kubwa ya leo duniani ipo ilivyo sio kwa bahati mbaya ila kwa mipango ya watu fulani wachache.
Mambo yote ambayo binadamu anayahitaji ili kuishi vizuri yamekuwa full monetized .
-Kuanzia Hisia zake
-Kuanzia Akili yake
-Kuanzia Afya yake.
-Kuanzia mahusiano yake .
-na Imani yake.
Waweza kuona katika hisia za furaha na huzuni , yaani ukiwa na huzuni unabidi umlipe MTU either mwanasaikolojia n.k ili akusaidie kukuweka katika hali ya furaha , utaamua kuingia Labda mtandaoni kutafuta furaha au wale wengine huishia kunywa Pombe , kuvuta bangi n.k yote ni kuitafuta furaha yao ambayo wameipoteza.
Furaha yako mwenyewe ambayo unaweza kuipata kutoka ndani yako , but you have to pay for it
Ukija katika Akili , binadamu wengi they are no longer trust in their mind wanaamini katika akili za watu wengine , kwahiyo watu ule uwezo wao wa kufikiri kisawa sawa hawautumii tena.
Watu hawadadisi tena mambo muhimu , so unakuta mtu anamlipa mtu pesa ili amsaidie kuiweka akili yake sawa, you can see how motivation speakers, mentors , life coach , wanavyotengeneza hela,
MTU akiambiwa kuwa unaweza kuanza biashara bila mtaji , watu wanaamini na kuona yes is right lakini the question, huyu mtu bila mtaji anaanzaje biashara, ili swali litabaki bila kujibiwa .
Ukiangalia Afya -watu hawataki tena kufata mitindo bora ya Maisha, kula chakula kidogo ambacho kinaendana na kazi zao , kupata muda wa kutosha wa kupumzika , kuwa stress free , kufanya mediation n.k
Unakuta mtu anachelewa kulala kisa anaangalia movies , anachati muda wote usiku, mwingine anakula bila mpangailio anakunywa vinywaji vya dukani kila siku (Junk drinks and junk food)
yote haya MTU hufanya akiamini I'm Safe nikiumwa nitajitibia kwakuwa nina pesa au Bima , na kusahau kuwa health is wealth, AFYA ikiharibika hakuna BIMA wala pesa itatosha kuiweka AFYA yako vizuri kwa 100%.
Hapa wataalamu wa madawa wanatengeneza pesa kupitia ujinga wako mwenyewe. Wana monetized Afya yako , kuumwa ni kawaida ila kuumwa magonjwa yanayotakana na poor lifestyle inakuwa sio kawaida.
Ukija katika Mahusiano- watu wanaoana Ila wakikaa katika ndoa wanaanza kutofautiana mitazamo, tabia n.k mwisho kila mtu anaanza kutafuta suluhisho wanajikuta ndoa yao inakuwa monetized kwa kuwapa pesa mediators mbalimbali , dawati la jinsia mahakamani kwa ajili ya (divorce) n.k
Ukija katika Imani- watu they are no longer believing in their faith , ila wanaamini in someone's faith na kusahau kila MTU Ana different spiritual journey as well different faith . kitu ambacho kinaweza ku-work out kwangu kiroho sio lazima ki-work out kwa mtu mwingine.
Hivyo Mtu akiona mambo hayaendi anakimbilia kwa nabii, Mganga , Shekh , mchungaji n.k
Hataki kukaa na kuaona njia ya yeye kufanya maombi yeye Kama yeye ila anaamini lazima awekewe mkono na nabii , mchungaji , mganga au shekh na akienda huko , anakutana na watu wana monetized imani yake kwa kuombwa sadaka n.k
hivyo tuwe makini sehemu yoyote yenye (TUNDU) loophole watu wanaweza kui-monetized na ukageuka kuwa mtumwa wa watu fulani katika hii dunia .
Be..smart don't allow anyone to monetize ur LIFE./humanity
the world is full of manupulators
HOV.