Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,520
- 8,270
Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya kama sevilla walitota pale lupaso hivyo ni haki ya mautopolo yote kushangilia na kufurahia fainali ya mkondo wa pili kupelekwa zenji maana yanaelewa mnyama akicheza lupaso nini kitatokeo‘ mooo nakulaumu sana.
Utopolo huo
This is SIMBA📌🔨✌🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
🤔🥺🤣🤣🤣🤣Kila la heri Rs Berkane. Ubaya ubwela.
Sawa!!! Ila game ni kwa MkapaWakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya kama sevilla walitota pale lupaso hivyo ni haki ya mautopolo yote kushangilia na kufurahia fainali ya mkondo wa pili kupelekwa zenji maana yanaelewa mnyama akicheza lupaso nini kitatokeo‘ mooo nakulaumu sana.
Kabla sija comment naomba matokeo ya 5imba na SevillaWakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya kama sevilla walitota pale lupaso hivyo ni haki ya mautopolo yote kushangilia na kufurahia fainali ya mkondo wa pili kupelekwa zenji maana yanaelewa mnyama akicheza lupaso nini kitatokeo‘ mooo nakulaumu sana.
simba inaogopeka?Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya kama sevilla walitota pale lupaso hivyo ni haki ya mautopolo yote kushangilia na kufurahia fainali ya mkondo wa pili kupelekwa zenji maana yanaelewa mnyama akicheza lupaso nini kitatokeo‘ mooo nakulaumu sana.
Wewe unajua anaogopeka wapi tu?Na "dunia kwa ujumla"Rage apewe PhD ya heshima 🙌
GENTAMYCINE huyu jamaa anauliza mkweko unatoka wapi ilihali amekamatilia manyungulusisimba inaogopeka?
Ndiyo hapo kwa kipi cha zaidi?simba inaogopeka?