hahaaaaaaaaa, mkuu naona unawatafutahizo kazi wanafanya wanaume wa dar
kwani miss chaga huendi huko?Kama kavaa sketi au gauni wa naenda kumfunua funua ha ha ha
Thubutu labda huyo mwanamke wako wa peponi, jipe moyo ushinde, na ungekuwa una mwanamke bora kiasi hicho ungeshkuru sana, Sema umepata mwanamke mlokole hana makuu ya kwenda saloon kusuka wala kutia rangi ya kucha, au umeoa kutoka kijijini hanaga mambo hayo kucha anakata kwa kiwembe, mara ya mwisho kunyoa nyusi siku ya harusi, kusukwa anasukwa na mdada wa kazi au kwajirani kwa mama naniihiii, HAPO NTAKUBALIANA NA WEWE. Lakin kama ni hawa wanawake wa yes babe!! ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ANASUGULIWA MPAKA MAPAJA HAKUNA MISINGI WALA MIFEREJI. na samahani pia isije ikawa mkeo ana umri wa miaka 60 nikadhani nabishana na kijana, utaniwia radhi pia kwa hilo.Hulka ulizonazo wewe sio sawa na alizo nazo mwanamke wangu ,misingi uliyojengewa wewe sio sawa na misingi aliyojengewa mwanamke wangu ,kwa hiyo usitake kulazimisha mitazamo yako ndivyo inavyofanya kazi na kwa wengine ,
Ni kweli sijawasoma wanawake vizuri na wala hilo halijawahi kuwa ndio priority yangu ,
Watu wa aina yangu ? Una maanisha nini ??
Next time nikitaka kuandika biography yangu nitakutafuta maana inaelekea unanijua kuliko navyojijua
Asilimia 90 ya wanaume wa bara wanatulelea watoto wetu, kwa kazi kama hizi… Na mtawalea sana tu! maana hakuna namna…mashoga wengi dar
Mmeo kama unae hapa kalamba dume au kaokota garasa ,kuna shida gani kama ni wa kijijini ? Anasuka twende kilioni anatumia wembe ndio ila heshima debe ,hongera wewe wa mjini ambaye hata zivu mnatumia laser hair removal wakati raha ya zivu latakiwa liachwe limanue huku limechongwa kwa ustadi kama watoto wa Kijapan ,carolite na nywele zenu zilizo tolewa kwenye mikia ya Farasi mnazovaa ,samahani pia usikute nabishana na mtoto wa kimbokaThubutu labda huyo mwanamke wako wa peponi, jipe moyo ushinde, na ungekuwa una mwanamke bora kiasi hicho ungeshkuru sana, Sema umepata mwanamke mlokole hana makuu ya kwenda saloon kusuka wala kutia rangi ya kucha, au umeoa kutoka kijijini hanaga mambo hayo kucha anakata kwa kiwembe, mara ya mwisho kunyoa nyusi siku ya harusi, kusukwa anasukwa na mdada wa kazi au kwajirani kwa mama naniihiii, HAPO NTAKUBALIANA NA WEWE. Lakin kama ni hawa wanawake wa yes babe!! ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ANASUGULIWA MPAKA MAPAJA HAKUNA MISINGI WALA MIFEREJI. na samahani pia isije ikawa mkeo ana umri wa miaka 60 nikadhani nabishana na kijana, utaniwia radhi pia kwa hilo.
😛😛🙁😉Mmeo kama unae hapa kalamba dume au kaokota garasa ,kuna shida gani kama ni wa kijijini ? Anasuka twende kilioni anatumia wembe ndio ila heshima debe ,hongera wewe wa mjini ambaye hata zivu mnatumia laser hair removal wakati raha ya zivu latakiwa liachwe limanue huku limechongwa kwa ustadi kama watoto wa Kijapan ,carolite na nywele zenu zilizo tolewa kwenye mikia ya Farasi mnazovaa ,samahani pia usikute nabishana na mtoto wa kimboka
Nlijua tu utakuwa wakwanza hapaKama huyo mtoa huduma ni 'mtoto wa watu'haina shida
Red Scorpion mkuu, jee alitokea pande hizi? Kuna inshu nilitaka tutete nae.
akishakuja kufanya kazi Dar sio wa mkoani tena huyo keshageuka kuwa wa DarWanaume wa mkoani mnakuja dar kufanya hiyo kazi halafu mnadanganya wenzenu huko mikoani
dar nakuja muda ninaotaka, kufanya ninachotakaNdo mnajitetea hivyo kumbe baki huko huko mikoani