Mambo yatakayoing'oa CCM madarakani October 2015

Last but not least... Kuyaachia majoka yenye makengeza kutuandikia rasimu ya katiba
 
Jambo jingine huwenda ni wananchi kukichoka cm kutokana na kuwepo madarakani kwa miaka mingi
 
ommy malori mbona ninyi ndio mnaoyatumia sana. hizo pesa tunazowapa bila shaka unatupatia wewe
 
Haya ni maneno ya kasuku, ana-tape na kurudia kusema maneno aliyosema mwingine bila kutumia akiri yake. kama serkali na ccm haikufisadi mahakama na magereza yangejaa wafungwa wa rushwa na wizi wa mali za umma. Na kwa kuwa ccm na serkali yake ni fisadi ndiyo maana kila kukichwa watuhumiwa wa ufisadi wanasafishwa. Kwa sababu hakuna hata mmoja ndani ya ccm ambaye anaweza kunyoshea kidole mwenzie. Na hili ndilo kubwa litaing'oa ccm mwezi october
 
najua uko usingizini saa hizi..ngoja uamke ndio tunaweza kulumbana..maana hata hoja ulizotoa hazina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…