Mambo yatakayoing'oa CCM madarakani October 2015

kujiaminisha na kujisahau kwamba wao ndo watawala wa maisha wa taifa hili
 
Imefanya nini hiyo miiko ya viongozi?

haitumiki vizuri na hata ikitumika inapika chakula kibichi hakiivi ndo mana tunaaamua sasa kufanya maamuzi magumu OCT 15
 
Kwa dalili hizi zilizotajwa hapa ukweli ni kwamba kazi ipo!
 
21. Safari nyingi za nje zisizo tija, au tija yake haikufafanuliwa
22. Ridhwani Kikwete
 
(21)Kung'oa watu kucha na meno bila ganz,
(22) kuwaambia watanzania wasiotaka kulipa bili ya umeme mpya watumie vibatar,
(23) Asiyetaka kulipa nauli mpya ya kivuko apige mbizi,
(24) watanzania wapigwe tu hatuna jins maana tumechoka,
(25) nimetochoka na nchi hii nataman mda wangu wa Urais uishe nikachunge mbuz chalinze n.k
 

Mnakusanya watu kwa fisi ndo mnapokelewa? Kuwanunua watu kusomba na malor ndo mnakubalika?
Wabunge wa ccm kuwaandaa wakinamama wa ccm kuwapa pesa kisha wajifanye wanawaunga Mbunge mkono ili agombee ubunge? Kumbe ni futuh tupu, Kawadanganye Mambulula wenzako wa ukoo wako si Watanzania wanajua machungu kwa nchi hii, mnalala Bungen tu kila kitu Ndioooooooo kibaya Ndiyooooo, pesa zikiombwa huku kwa mjomba mnajisifia na kupigiana makofi hamjui mtazirejeshaje,
Kama unatakwimu vzr angalia Deni la Taifa limefika kias gan? Kila Mtanzania anadaiwa zaid ya 700000 halafu achague ccm tena deni liongezeke atakuwa kalongwa..
 
Mkuu hizi zote ni kazi za chadema usihamishe ukweli kabisa.

Watu wanaojitoa ufaham kama wewe ni wa kupuuza tu! Kwanza kaa huko huko Somalia, mambo ya TZ hayakuhusu kabisa!!
 
Imefanya nini hiyo miiko ya viongozi?

Sio lazima uchangie kila mada! Usipende kujiweka wa mwisho sana, jaribu kuwa mbele kwa kukaa kimya maana sometimes ukimya nao ni jibu!!!!

Unaandika shudu sana dogo!
 
Jambo jingine litakalo iangusha ccm ni kumuengua
(1)Lowasa kwenye urais
(2)Kumdhalilisha Warioba
 

Wewe unasoma magazeti gani mkuu? kweli tz kuna vilaza aisee!
 
wapigaji kura wengi wapo vijijini na bado wanaipenda CCM
Mkuu Malipula, kwa taarifa yako, ccm inawapiga kura mijini na si vojijini. Vijijini watu wanaumia zaidi na wamechoka sana lakini pia ulimwengu wa sasa ni wa sayansi hivyo taarifa zote ziko kiganjani mwa mwana kijiji.
 

Mkuu hiyo ya kwanza (21) kuna hospital wanag'oa watu meno na kucha bila ganzi?
 
mambo hayo bwana emmanuel 1976 ndiyo yatakayo wanyima kura chadema na ukawa yao kwani sisi wananchi wapiga kura tumeshabaini ninyi ni watungaji wa uongo tu mkisaka tonge..hamna cha huruma wala kitu chochoite kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…