emmanuel haya ni mawazo yako ila kwa taarifa yako na kwa kuwa husomi magazeti ningekushauri uanze kusoma uangalie jinsi wabunge wa ccm wanavyopokelewa majimboni na kuchangiwa fedha za kugombea tena. ninyi mnazunguka na chopa mnakusanya watu wanaoshangaa chopa mnajiaminisha kuwa mtaing'oa ccm madarakani. inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. tusubiri tutajua mbivu na mbichi
emmanuel haya ni mawazo yako ila kwa taarifa yako na kwa kuwa husomi magazeti ningekushauri uanze kusoma uangalie jinsi wabunge wa ccm wanavyopokelewa majimboni na kuchangiwa fedha za kugombea tena. Ninyi mnazunguka na chopa mnakusanya watu wanaoshangaa chopa mnajiaminisha kuwa mtaing'oa ccm madarakani. Inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. Mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. Tusubiri tutajua mbivu na mbichi
Umeanzisha uvurugaji wa threadKibaraka wa ccm Zitto atawagawa ccm
20. Kuishi na majoka yenye makengeza
emmanuel haya ni mawazo yako ila kwa taarifa yako na kwa kuwa husomi magazeti ningekushauri uanze kusoma uangalie jinsi wabunge wa ccm wanavyopokelewa majimboni na kuchangiwa fedha za kugombea tena. ninyi mnazunguka na chopa mnakusanya watu wanaoshangaa chopa mnajiaminisha kuwa mtaing'oa ccm madarakani. inawabidi mjipange haswa kwani ajenda hizo ulizotaja wananchi wameelewa ukweli kwamba serikali sio fisadi bali mtu mmojammoja ndio fisadi, rasimu wameisoma na kuielewa na wataipigia kura ya ndiyo, mahakama ya kadhi waislamu wameeleweshwa namna mchakato ulivyo na wameelewa. mimi nadhani tusiandikie mate wakati wino ni oktoba 2015. tusubiri tutajua mbivu na mbichi
intetesting!
Mkuu Freedom Tomorrow! kumbe kinaweza andikwa kitabu cha sababu zitakazo fanya ccm ing'olewe madarakani 2015 ikiwa wapinzani/ UKAWA watacheza karata vizuri?
CCM haiondoki mwaka huu,wala mwaka kesho.Siku zote inajua namna ya kulinda au kushikilia tonge lilio mdomoni.Itaondoka tu madarakani iwapo kiongozi mkuu wa kaya kwa mapenzi yake au utashi wake mwenyewe ataamua kufanya mabadiriko ya sera za utawala,Kama Gorbarchov wa Soviet.
Topic nzuri, kwa waandishi wa makala au Ndg POLEPOLE, mnaweza tuandikia kwa kina ili watanzania wasome wafunguke macho
CCM itashinda kama kawaida yake
20. Kuishi na majoka yenye makengeza
sababu za kushinda kwao kama kawaida?
mkuu! kuna majoka yenye makengeza?