prototypeman
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 288
- 108
Duh vuta subira ucheki kesho maana sometime mtandao wao wa cas unasumbua kinomaMimi Nili update Jana Leo asubuhi nikaikuta hiyo NA nika log out baada ya dakika kama 10 nika log in tena sikuikuta tens NA nikaikuta kama mwanzo updates/ remove qualification hawa watu wananinyima raha hata mood ya kufanya shughuli zangu ina kata kabisa
Acha kutuletea pumba zako bana wengine tunastress vyuo vinazingua ww unakuja na maweb yako ya ajabu ajabuJobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
Please visit this link then open your account (register) read the instruction below then you will get payment end of the each month
Sent from my iPhone using JamiiForums
naombeni msaada mie nimespend the whole day kuupdate profile yangu ili hiyo NA itokee lakini hakuna chochote kilichotokea nisaidien nifanye nini
na mimi nina case hii hii wanadai nina supp. nimeingia leo dar usiku for this issue. hawa watu wanaweza kukosesha chuo na mipango yako ikaharibika. laiti ningejua mapema kabla hawaja select watu ningewahi kuja. now profile yangu vyuo vi 4 capacity 0 kimoja capacity 37 walio apply as first choice hadi sasa ni watu 37 afu mi nilikiweka second choice. yani nshachanganyikiwa nimechoka yani alhamis napaona mbali kama kesho sijaenda kulinda na mlinzi wa getini kwao sijuiNakushauri usipoteze muda chukua transcript yako wafuate kwenye ofisi zao waeleze wape na transcript my friend alikua na tatizo kama lako alivoenda ofisini kwao wakamwambia ana sup ya semester ya nne akawapa transcript wakamrekebishia
na mimi nina case hii hii wanadai nina supp. nimeingia leo dar usiku for this issue. hawa watu wanaweza kukosesha chuo na mipango yako ikaharibika. laiti ningejua mapema kabla hawaja select watu ningewahi kuja. now profile yangu vyuo vi 4 capacity 0 kimoja capacity 37 walio apply as first choice hadi sasa ni watu 37 afu mi nilikiweka second choice. yani nshachanganyikiwa nimechoka yani alhamis napaona mbali kama kesho sijaenda kulinda na mlinzi wa getini kwao sijui
nacte system yao inasumbua sana hili lako hata mimi pia. sasa imagine walitoa majina ya wanao miss diploma qualification jina langu lilikuwepo.wakai update list yao wakatoa ya pili jina langu halikuwepo. saiv wanasema si kidhi vigezo. afu unaambiwa nenda ofisi zao. hivi watanzania wangapi wana mudu hizi gharama za safari za kushtukiza kama si kuoneana hukudaaah mm kwangu inakuja hiyo NA nakuondok inaeza ikaepo sikuzima na jion ikatok hat wezangu tuliosom wote nikicheki na zao zote zinakuwa hvy hvy . daah sielew ni tatizo am ni nn
nacte system yao inasumbua sana hili lako hata mimi pia. sasa imagine walitoa majina ya wanao miss diploma qualification jina langu lilikuwepo.wakai update list yao wakatoa ya pili jina langu halikuwepo. saiv wanasema si kidhi vigezo. afu unaambiwa nenda ofisi zao. hivi watanzania wangapi wana mudu hizi gharama za safari za kushtukiza kama si kuoneana huku
vipi hamjaenda ofisi zao kufatilia. u better go there physically.daaah polee ila sis wote hatukuwepo kene list ya missing application. so tupo tupo tu maan tuliotok chuo chetu hmn hat mmoj aliechaguliwa mpk sas
kama hamna hata mmoja aliyechaguliwa inawezekana chuo chenu hawajapeleka nacte list ya majina ya watu waliomaliza pamoja na matokeo yenu
Mkopo bahati ya mtu na hawaangalii ufaulu wa mtu wanaangalia condition ya maisha ya mtu...jaman vp kuhusu mkopo kwa sisi tuliotoka dip inatakiwa angalau uwe na gpa ya ngap kwa course za ufund kama una dip ya mechanical eng
Yaani tumekuwa kama Lowasa na Magufuli wanavyoiangalia NEC, wao wanawania kwenda Ikulu na ss chuo, kila siku kununua bando la internet kuangalia kama kimeeleweka. Hebu kamilisheni tujiandae!!!!!!!!.
Yaani tumekuwa kama Lowasa na Magufuli wanavyoiangalia NEC, wao wanawania kwenda Ikulu na ss chuo, kila siku kununua bando la internet kuangalia kama kimeeleweka. Hebu kamilisheni tujiandae!!!!!!!!.
Wale walioomba nacte fungueni profile zenu sasa hivi,washaanza kuthibitisha selection kwenye profile,mimi ni mmoja wao, wameniadikia hivi
SELECTED
Please be informed that you have been provisionally selected to join below Programme in said Institution/College pending to the confirmation of the Institution/College.
Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo chini. Hii itategemea uthibitisho kutoka Chuoni.
MUNGU YUPAMOJA NASI,NAAMINI WOTE TUTACHAGULIWA
Inamaanisha ukatafute kazi za kufanya hauna nafasi katika mambo ya shule