sasa wanachukua muda gani kuziweka kwenye data base yao ndugu. mi nishaanza kuingia wasiwasi wenzangu tuliomaliza nao chuo tume apply kwa the same process wamekuwa selected kwenye chuo hicho hicho tulichotoka mimi still pending. ila capacity zinasoma 0 isipokuwa za hicho chuo tulichotoka kina nafasi baadhi.yani ww taarifa zako hazikuwa katika database hadi tyme hiyo unatakiwa uwekewe n/a
Nafikili kuna shida kwenye attached zako mwisho inatakiwa iwe NA
Good wait for selection
ughwe ndisi...ngwinoghona le sikusobha isyakujobha..
ndugu ulifatilia ofisi za Nacte au wao wenyewe ndo wamerekebisha? maake na mimi profile yangu ipo kama ilivyokuwa yako. naomba unifahamishe kama nikufatilia ofisini kwao nimuagize mtuNashukuru xana kwa kunijuza now nmekuta N/A
View attachment 297669 hiyo N/A kwangu ina miss
Update hiyo attached inyo onyesha update
Nimei update imebaki hivyo hivyo hiyo N/A still missing kwa namna tulivyo apply tuliomaliza chuo chetu hatuna option ya kuweka trascript. matokeo yetu yalitumwa Nacte moja kwa moja so kwenye qualification za diploma ukiweka jina la chuo ulichomalizia wanaomba mwaka uliomaliza then kozi afu registration number basi.Update hiyo attached inyo onyesha update
the same to me. najua chuo tutaenda ila wengine tutafika kilo zimepungua sana kama si kuchoka haswaaa this people need to change waige wenzao wa TCU i hope majority wanajua selection zao na hata kama hujapata then u know third round ipo ila huku kwetu hatujui lolote na mbaya zaidi siku zinaenda. kama hawa watachewa probably wata waathiri hata bodi ya mikopoMimi nimeupdate lakini hakuna kilichobadilika. Tatizo ni nini?
ughwe ndisi...ngwinoghona le sikusobha isyakujobha..
View attachment 297666 naomba msaada we umefanya nini ku solve issue yako mi natatizwa
Nimeupdate hiyo pdf then nikasubiriiiii wakaweka hiyo NA yao
Mimi Nili update Jana Leo asubuhi nikaikuta hiyo NA nika log out baada ya dakika kama 10 nika log in tena sikuikuta tens NA nikaikuta kama mwanzo updates/ remove qualification hawa watu wananinyima raha hata mood ya kufanya shughuli zangu ina kata kabisaDah mm niliupdate jmos nashukuru leo j3 nimeingia kwenye profile yangu nikakuta NA .....