Yapo tu ambayo yanakura huwezi ukawa perfect
Xaxa, cc, ww, dem, 2mbili, vp, cimu, sim (simu), 2nda, mm,nn,ccmizi, cjui,co,ka2ma,. . .Mimi hicho kipengele cha 4 ndo haswa kinanipa hasira watu wanafupisha kiajabu ajabu utadhani wanaandika text messages kwenye simu kwamba ikizidi 1 page atachajiwa 2 pages. Maneno mengine huwa sielewi kabisa
kuna zile avatars za nyoka halafu mtu kaweka kiwembe kwenye jicho halafu jicho linatoa damu,dah kinanikera balaaMimi hicho kipengele cha 4 ndo haswa kinanipa hasira watu wanafupisha kiajabu ajabu utadhani wanaandika text messages kwenye simu kwamba ikizidi 1 page atachajiwa 2 pages. Maneno mengine huwa sielewi kabisa
Basi mpaka uwe na moyo mgumu,but i think kila mtu kuna kitu inamkwaza
Kwanini nisumbuliwe na mtu kucomment kuhusu muonekano wangu kama mwenyewe nimeridhika na mwonekano wangu?Hata anaenijua akiniambia mimi ni mbaya sitotilia maanani.ok kwa mfano mtu akacoment kuhusu mwonekano wako kwenye thread na ukaona kuna ukweli,hapo hujiulizi?na yeye humfahamu
Umezoea nadhani,but for me nitakuwa naattack him/her