Mambo yanayosababisha ukosefu wa nguvu za kiume

snead

Member
Jun 10, 2015
79
23
Tumeshajua nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama, hatua za kusimama kwa uume, pamoja na mambo yanayo fanya uume uweze kusimama na kuwa na uwezo wa kuendelea kusimama wakati wa tendo la ndoa.

Ni vyema tukajua mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama kwa uume, mambo yanayo sababisha uume ushindwe kuendelea kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa pamoja na mambo yanayo fanya mtu ashindwe kurudia tendo la ndoa.

Yafuatayo ni mambo yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.

  1. MAGONJWA YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA NA MISHIPA YA DAMU.
Damu ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama msumari. Damu ndio nishati inayoweza kuufanya uume uendelee kusimama wakati wa tendo la ndoa.

Damu ndio nishati inayo upa uume uimara na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja.

Hivyo basi ili uume uweze kuwa imara na wenye nguvu, pamoja na kuwa na uwezo wa kumudu na kustahimili tendo la ndoa wakati wowote , basi ni lazima mwanaume awe na mfumo imara wa damu utakaoruhusu kutiririka kwa damu kwenda katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo uume.

Ili mfumo uweze kuwa imara ni lazima mhusika awe na damu ya kutosha, na pili awe na mishipa ya damu yenye afya.

Katika mwili wa mwanadamu, kuna mishipa inayo tumika kusafirisha damu kutoka katika sehemu moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni kama vile vena (veins), atery ( ateri) na capillary ( kapilari ).

Mishipa hii ya damu inapaswa kuwa imara na yenye afya njema wakati wote. Mishipa hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia kusafirishwa kwa damu katika sehemu mbalimbali za mwili wa mwanadamu na hatimaye kufanya suala la kuwa na nguvu za kiume kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa kupeleka damu kwenye mishipa ya uume.

Magonjwa kwenye mishipa ya damu huzuia kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu kama vile moyo, ubongo na figo.

VIASHIRIA VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
Utajuaje kwamba una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?

Ukiwa una matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu:

  1. Kolestrol ( Ama lehemu kwenye damu )
Kolestrol nyingi kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu. Kolestrol ikizidi kwenye damu, hupelekea kuziba mishipa ya ateri ambayo kazi yake ni kupeleka damu kwenye uume. Matokeo yake ni mhusika kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara kwa sababu uume hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani ya mishipa ya uume. Hivyo basi pamoja na dawa ya nguvu za kiume, yakupasa kutibu kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol kwenye damu kwa kutumia dawa mbali za asili kama vile mdalasini,uwatu, habbat sodah etc. Jinsi ya kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa asilia tafadhali tembelea
Tovuti ya Uelimishaji na Ushauri wa magonjwa sugu, kisukari, shinikizo la damu, kansa, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume n.k.
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

  1. Shinikizo Kubwa la Kupanda
Shinikizo Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha damu iingiayo kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango inachotakiwa kutanuka.

Pia huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.

Matokeo yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo kwenye uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.

Vile vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.

Pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutumia dawa asilia kujitibu tatizo la shinikizo kuu la damu.

Kufahamu jinsi ya kujitibu tatizo la shinikizo la damu kwa njia ya asilia, tembelea :
Tovuti ya Uelimishaji na Ushauri wa magonjwa sugu, kisukari, shinikizo la damu, kansa, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume n.k.
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

  1. Ugonjwa wa kisukari :
Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana na kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari huathiri mishipa ya damu pamoja na usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.

Kiukweli, mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk kubwa ya kupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, tena katika kiwango kikubwa sana.

Unashauriwa pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, tumia pamoja na dawa mbalimbali za asili kwa ajili ya kubalance sukari yako mwilini. Zipo dawa mbalimbali za asili zinazo saidia kubalance kiwango cha sukari mwilini. Dawa hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa uwatu, mbegu za uwatu, manjano, majani ya manjano,mbegu za katani, nakadhalika. Namna ya kutumia dawa hizo kujitibu tatizo la sukari, tafadhali tembelea :
Tovuti ya Uelimishaji na Ushauri wa magonjwa sugu, kisukari, shinikizo la damu, kansa, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume n.k.
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

  1. Magonjwa ya figo
Tatizo la ugonjwa wa figo huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana katika kuufanya uume uweze kusimama na kuendelea kudumu katika kusimama.

Tatizo la figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda kwenye mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa ya neva pamoja na nishati ya mwili mzima.

Pamoja na dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo la figo. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali ya figo kwa kutumia dawa mbalimbali asilia, tembelea Tovuti ya Uelimishaji na Ushauri wa magonjwa sugu, kisukari, shinikizo la damu, kansa, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume n.k.
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

  1. Ugonjwa wa moyo
Moyo ndio supplier mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za mwili. Ugonjwa wa moyo hupunguza uwezo wa moyo kusambaza damu kwenye mishipa mbalimbali ya damu na hivyo kuathiri utendaji kazi wa mishipa ya damu kama vile ateri na vena. Matokeo yake ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka damu ya kutosha katika uume pamoja na kushindwa kuifanya mishipa ya uume kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu za kiume. Hivyo basi, pamoja na dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutibu tatizo la moyo. Kufahamu jinsi unavyo weza kutibu ugonjwa wa moyo kwa dawa asilia, tembelea :
Tovuti ya Uelimishaji na Ushauri wa magonjwa sugu, kisukari, shinikizo la damu, kansa, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume n.k.
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

  1. Kupwaya kwa mishipa ya vena.
Kazi kubwa ya mishipa ya vena kwenye uume kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Mishipa ya vena iliyopo karibu na uume kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna damu yoyote kwenye mishipa ya uume.

KUMBUKA KUWA DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE KILE KITAKACHO FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA MISHIPA YA UUME , KITAFANYA UUME USINYAE

Ili uume uendelee kusimama ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume kupeleka nje ya mishipa ya uume.

Na ili mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili, ni lazima mishipa ya uume iwe imara na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile.

Mishipa ya vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wako, na ikitokea umefanikiwa kuusimamisha basi utasimama ukiwa legelege sana na utasinyaa ndani ya muda mfupi sana, kwa sababu damu iliyo ingia ndani ya uume wako na kuufanya usimame, itanyonywa ndani ya muda mfupi sana na kutolewa nje ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume wako usimame.

Tatizo la kupwaya kwa mishipa ya vena linasababishwa na kupiga punyeto kwa muda mrefu pamoja na ugonjwa wa kisukari.

KUPIGA PUNYETO KWA MUDA MREFU:

Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu.

JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.

Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.

Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.

Mishipa ya uume iliyolegea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :

  1. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax.
( Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)

  1. Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii. Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi utasimama ukiwa legelege sana

  1. Mishipa ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama. Matokeo yake basi, damu kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi sana.
  2. Mishipa ya uume kulegea
  3. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa motto
  1. Tatizo la unene kupita kiasi : Tatizo la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita kiasi humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu. Na magonjwa ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu husababisha upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume, na hivyo kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi , pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.

JINSI YA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE KWA KUTUMIA TIBA ASILIA, TAFADHALI TEMBELEA:
Tovuti ya Uelimishaji na Ushauri wa magonjwa sugu, kisukari, shinikizo la damu, kansa, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume n.k.
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

  1. Matatizo Katika mfumo wa Ubongo
Uume hauwezi kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili mtu uume uweze kusimama, mtu lazima apate wazo la kufanya tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubongo hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika uti wa mgongo ambayo nayo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya uume then uume usimama. Hivyo basi ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni lazima kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya fahamu ( ubongo ), mishipa ya kwenye uti wa mgongo na mishipa ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu hivyo vitatu, uume hauwezi kusimama.

Magonjwa yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.

Magonjwa hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu ( Alzheimer ), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.

Ni vyema mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza kutumia dawa ya nguvu za kiume. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa njia asilia,tafadhali tembelea
Tovuti ya Uelimishaji na Ushauri wa magonjwa sugu, kisukari, shinikizo la damu, kansa, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume n.k.
whatsapp/sms/call +255 714 206 306

Mambo mengine yanayo sababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni pamoja na maumivu majeraha kwenye uti wa mgongo, chango la kiume , ngiri na matatizo katika homoni.
 
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Linakuwa Kwa Kasi Sana Mijini Na Vijijini.Mahusiano Mengi Yapo Hatarini Mwenge Nao Umeendelea Kuzindua Mashule Ili Watoto Wasome Lakini Bado Umeshindwa Kuzindua Semina Na Tiba Juu Ya Viwanda Vinavyoleta Watoto.Je Tunahitaji Fly Over Viunoni Kama Pale Tazara? Kisababishi Ni Nini?.4 Groups..
1.Kundi La Kwanza Ni Vijana Wanaoshindia Vyakula Vya Kujenga Hips Kuliko Vya Kujenga Msuli,kijana Anayekula Sausage,kababu Tutarajie Maajabu Gani Zaid Ya Kuota Nyonyo?
2.Kundi La Pili Vijana Misifa Ambao Wanatumia Viagra Kukomesha Wanawake.Matokeo Yake Siku Akikosa Viagra Faragha Nguvu Empty Anakuwa Mpole Kama Paroko Wa Parokia Ya Mzambarauni Anasalisha Jumapili Ya Matawi
3.Kundi La Tatu Ni Walevi Ambao Hawafanyi Mazoezi Mfumo Ukiharibika Anapoteza Hamu Matokeo Yake Akifika Kwa Mwenzi Wake Analala Pembeni Kama Kiroba Cha Mtama Kilwa
4.Ni Wazee Wa Kujichua Hawa Ndio Wale Ambao Akiiona Sabun Ya Jamaa Anarembua Kama Kala Bamia Huku Akimleta Mariah Careh Kichwan From Usa Bila Visa.
 
Je Lini Tatizo Hili Litakwisha? Serikali IMejipangaje Kutoa Elimu Kwa Kwa Makundi Hayo? Wizara Ya Afya Inasemaje?
 
Duh we ni noma! Ila tuambie we ni she au he! Na haya umeyajuaje?

Au we ni dokta? Jibu tafadhali
 
Uzuri kwa Tanzania kama una hilo tatizo watu wa kukusaidia ni wengi sana tena wanagharimia na Huduma zingine kwa mke wako kwa hiyo hilo lisikutishe, kama kuna mtu yeyote anahitaji msaada wewe ni PM tu mkuu
 
Kijana wa leo unashindia chips..
Kijana wa leo haufanyi mazoezi.. Kijana wa leo mvivu hata kwenye makatiko unataka utumie Viagra..
Kijana wa leo unaendekeza kupombeka na madawa ya kulevya..
Kweli vijana mnasikitisha aiseeee.....
Ebu ngoja nikajipikie ugali kwanza, alafu nitarejea
 
Kijana wa leo unashindia chips..
Kijana wa leo haufanyi mazoezi.. Kijana wa leo mvivu hata kwenye makatiko unataka utumie Viagra..
Kijana wa leo unaendekeza kupombeka na madawa ya kulevya..
Kweli vijana mnasikitisha aiseeee.....
Ebu ngoja nikajipikie ugali kwanza, alafu nitarejea
Yaan Mambo Hayo Ndo Visababishi Vikubwa Mkuu! Lakini Huo Ugali Na Mboga Gani? Isije Ikawa Unapika Bonge La Ugali Halafu Unatenganisha Sehemu Mbili Ugali Mkubwa Na Mdogo Ugali Mkubwa Ndo Unauita Ugali Na Ugali Mdogo Ndio Unauita Mboga
 
Uzuri kwa Tanzania kama una hilo tatizo watu wa kukusaidia ni wengi sana tena wanagharimia na Huduma zingine kwa mke wako kwa hiyo hilo lisikutishe, kama kuna mtu yeyote anahitaji msaada wewe ni PM tu mkuu
Mkuu Ukidate Na Mke Wa Mtu Wa Aina Hiyo Jihadhari Ukitembea Tembea Na Ky Jelly Kwani Wana Hasira Hao Atakutolea Posa Hawachelewagi
 
Yaan Mambo Hayo Ndo Visababishi Vikubwa Mkuu! Lakini Huo Ugali Na Mboga Gani? Isije Ikawa Unapika Bonge La Ugali Halafu Unatenganisha Sehemu Mbili Ugali Mkubwa Na Mdogo Ugali Mkubwa Ndo Unauita Ugali Na Ugali Mdogo Ndio Unauita Mboga
Basi sawa
 
Yaan Mambo Hayo Ndo Visababishi Vikubwa Mkuu! Lakini Huo Ugali Na Mboga Gani? Isije Ikawa Unapika Bonge La Ugali Halafu Unatenganisha Sehemu Mbili Ugali Mkubwa Na Mdogo Ugali Mkubwa Ndo Unauita Ugali Na Ugali Mdogo Ndio Unauita Mboga
Ngono kwa kwenda mbeleeee au vipi? Tanzania ya UCHUMI WA KATI INAKUJA AU VIPIIIIIII?
 
Fanya mazoezi makali... ya kukimbia ..kula ugali dona kula vyakula vya asili..kula matunda ..kula pweza ..kula mapumbu ya beberu..kula mlonga..kaa miez sita bila kufanya ngono ..hapo nguvu zitarudi utakuwa na nguvu kama simba dume ...mwenye tatizo ani pn..https://jamii.app/JFUserGuide..kuna tiba vyote hivyo vimechanganywa kwenye dawa moja . Gharama ni elf 15000 tuu
 
Back
Top Bottom