Mambo yanayofanya baadhi ya wanawake wasiolewe

Tatizo ni jamii kuamini kua mwanamke aliyefanikiwa lazima awe ndani ya ndoa.
Kila mtu ana maelezo yake juu ya neno mafanikio na wengine ndoa haimo katika kujiona amefanikiwa.

Kuoa au kuolewa siyo lazima kabisa.
Tuliambiwa tuje kuijaza dunia siyo kufungishana ndoa.
Ndoa ilianzishwa na Mungu
 
Maneno ya kawaida sana haya kutolewa na mwanamke mwenye miaka 37 na yuko kwa wazazi
 
Kuchagua muhimu.
Huwezi kuolewa na mtu ni mtu hata kama haumpendi , lazima uridhike moyoni ili uishi kwa furaha katika ndoa.
Kujiona mzuri pia sio kosa .
Uzuri wa ndege manyoya uzuri wa mwanamke kujiamini.
Sababu nyingine labla inawezekana.
Kubaliana na mtoa post kwamba usipoangalia utazeekea kwenu,kuna wazuri wangapi wameolewa na wasio na muonekano!? Alafu furaha ya ndoa hailetwi na mtu unayempenda ila huletwa na mtu anayekuheshimu na kukupa kipaumbele katika maisha yake,kwa mfano tu wa kawaida wewe umeshawapenda wangapi mpaka umri huo na wakaishia kukuumiza badala ya kukupa furaha!? Muda mwingine wadogo zetu mkue
 
Wanawake mna shida ya kudhania kila mtu ni mwanamke, uliza kwanza bibie.
Kila kitu hujitanabahisha kwa kauli, umri na jina. Ukisikia MWANA ujue wa kiume maana wa kike huitwa BINTI.

Tabia hizi za ujeuri na kutokukubali kushindwa ndio maana hatujakuoa mpaka leo.
 
Kuwa na **** hakukufanyi kua na maarifa yote duniani, sasa umewahi kuolewa unahisi kila mtu anatakiwa kuolewa. Na unahisi unatakiwa kuandika utumbo wako kila sehemu.
Kua mwanamke siyo dhambi enjoy uanamke wako.
 
Kuchagua muhimu.
Huwezi kuolewa na mtu ni mtu hata kama haumpendi , lazima uridhike moyoni ili uishi kwa furaha katika ndoa.
Kujiona mzuri pia sio kosa .
Uzuri wa ndege manyoya uzuri wa mwanamke kujiamini.
Sababu nyingine labla inawezekana.
Hiki kimekuwa ni kigezo wanachosimamia wanawake wengi lakini ukweli nyuma ya pazia kwa walio wengi ni sababu nyingine hasa mwanaume mwenye pesa. Na hawa baadae huja kulalamikia kutopendwa wakishaingia kwenye ndoa as if hicho kilikuwa kigezo chao.
 
Mimi naona hamna tatizo kama mtu anaona akiolewa na mwanaume Mwenye hela ndiyo furaha yake sawa,
Kwa sababu maisha ya Ku pretend yanachosha.
Kama mtu anataka mwanaume Mwenye hela then akajidai kuolewa na asiye na hela ili tuu aolewe nalo ni tatizo.
Ndoa ni maridhiano boss.
 
Kubaliana na mtoa post kwamba usipoangalia utazeekea kwenu,kuna wazuri wangapi wameolewa na wasio na muonekano!? Alafu furaha ya ndoa hailetwi na mtu unayempenda ila huletwa na mtu anayekuheshimu na kukupa kipaumbele katika maisha yake,kwa mfano tu wa kawaida wewe umeshawapenda wangapi mpaka umri huo na wakaishia kukuumiza badala ya kukupa furaha!? Muda mwingine wadogo zetu mkue
Sijui ni kigezo gani umetumia kuni hesabu kama mdogo wako.
BTW ..Ninachojaribu kusema ni muhimu sana mtu aolewe na mtu aliyeridhika naye.
Sio kwa kuwa ni shart uolewe bas unamkubali kila anayekuja.
Ila pia swthrt NIMEOLEWA NINA MIAKA YA KUTOSHA KWENYE NDOA.
Na nimeolewa na mwanaume niliyeridhia kuolewa naye maana yeye aliniridhia Mimi na Mimi nikaona ni mtu sahihi, hivyo kwetu ni furaha tuu.
Na nilichaguaa saaana.
 
Kama Mimi na wewe tumetoka kwenye hilo shimo,basi tysiwatie ujinga wadogo zetu! Hebu tuwakanye na kutoa ushauri badala ya kupinga pinga na kumpindua pindua mtoa post maana aliyoyasema yapo na yanatokea wanawake tusiwe watu wa kupinga tu kila jambo kisa halitufurahishi hapa wahanga wakubwa ni sisi kuliko wao maana mfadhaiko wa kuikosa ndoa hutokea zaidi kwa akina Dada kuliko kina kaka
 
Kuolewa au kuoa sio mwisho wa matatizo bali ni mwanzo wa mitihani hapa duniani ndio maana cheti kinatolewa kabla hamjaanza maisha ya ndoa. Wako wengi ambao hawakuwahi kuoa au kuolewa wanaishi kwa raha hadi mauti. Hakuna ndoa yoyote hapa duniani isiyokuwa na mabonde na milima. Hakuna binadamu ambaye ni malaika ndio maana Biblia Takatifu imeandika "wote wametenda ndambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu". Hakuna binadamu ambaye ni mtakatifu kuvumiliana na kurekebishana ndio suluhisho.
 
Kuchagua muhimu.
Huwezi kuolewa na mtu ni mtu hata kama haumpendi , lazima uridhike moyoni ili uishi kwa furaha katika ndoa.
Kujiona mzuri pia sio kosa .
Uzuri wa ndege manyoya uzuri wa mwanamke kujiamini.
Sababu nyingine labla inawezekana.
ok. ikiwa hivyo umewaza vyema
 
Back
Top Bottom