Mambo yanavyo enda huko nchini China

Wamewatia Waislam vizuizini (detention) kwa kuabudu kwao tu. Sasa mpaka waelewe kuwa Dini kwa Allah ni moja tu.
kwahiyo wale waarabu waliopigwa na mabomu kule iraq na USA na wao wana laana ya MUNGU au.....?


mbona nyie wafia dini huwa mna mindsets za ajabu sana
 
hearly,
Hata Yesu mmemfanya laana itakuwa Waarabu?

Tutawaweza wapi nyinyi kwa kuipenda laana?
 
Nimejibu ushuzi wako. Kwani wewe ulikuwa na hoja ipi zaidi ya kuchafuwa hali ya hewa?
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hivi ndio mtu mzima anavyo paswa kuongea mbele ya hadhira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…