Eeeeh,,,,,,rusha jembe ule mikanda ya mgongonimkuu huyu ni malaika otherwise haishi duniani.
kuna kutereza aseee nimekasirika ntaacha kurusha jembe ?
Ndio ujifunze kunyamazamkuu huyu ni malaika otherwise haishi duniani.
kuna kutereza aseee nimekasirika ntaacha kurusha jembe ?
ha ha ha najua wanaume wana nguvu sana nikirusha jembe ujue nipo mbali sananajiandaa na mbio.Eeeeh,,,,,,rusha jembe ule mikanda ya mgongoni
Kwa unene huo sidhani kama hata kukimbia wawezaha ha ha najua wanaume wana nguvu sana nikirusha jembe ujue nipo mbali sananajiandaa na mbio.
mi modo bossKwa unene huo sidhani kama hata kukimbia waweza
Umekuwa lini modo mke wangu??mi modo boss